Hivi kumbe na Kiswahili ni kipengele kwa Mtoto wa Kibongo, itakua mwanao alizaliwa Uganda au Australia au wazazi huwa hamuongei kiswazi nyumbani na pengine hata mtaani kiswahili ni kipengele.Somo linalomshinda ni kiswahili tu ndo nataka nimpige tuition.
Kweeli.Fainali uzeeeni.....ishu nzima ni output baada ya kumaliza chuo
Huo upumbavu binafsi nilishakiri humu sitakaa nifanye 😁😁😁! Hio hela bora umwekezee mtoto tu akija kukua mtu mzima apate pa kushika. Ni fedhea sana kulipa mamilioni kisha mtoto aje kuzunguka na kibahasha kama mwendawazimu 😂😂😂True.. mtu analipa milioni 3 ama nne kwa mwaka ili mwanae ajue kiingereza tu... huku sylabus anayofundishwa mwanae wa tusiime ni ile ile ambayo wa elimu bure anafundishwa. Tofauti ni lugha tu.
Tatizo la elimu yetu ni sylabus.. jaribu kuwaza hiyo milion 3 kila mwaka mnunulie kiwanja ndani ya miaka 7 atakuwa na asset kiasi gani huyo mtoto.
Mtoto atakuwa na uhakika wa kupata elimu ya juu ama basic need hata kama mzazi umefariki...
Mkuu tusiime wanatumia syllabus anayofundishwa mtoto wa huko Lindi vijijini ?
Unapeleka mtoto shule aelimike au afaulu?Uhakika wa kufaulu upo kwenye private schools. Pitia matokeo shule za serikali. Hali ni mbaya.
hayo maneno ya "ufaulu umeongezeka" yasikie hivyo hivyo
Zisizozidi laki 1 kwa mwaka nje ya mahitaji muhimu ya mtotoMtoa mada shule za bei nafuu ni kuanzia kiasi gani kwa mwaka?
Bro una watoto? If yes, wangapi?Bu
Huo upumbavu binafsi nilishakiri humu sitakaa nifanye [emoji16][emoji16][emoji16]! Hio hela bora umwekezee mtoto tu akija kukua mtu mzima apate pa kushika. Ni fedhea sana kulipa mamilioni kisha mtoto aje kuzunguka na kibahasha kama mwendawazimu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sijasoma huko Academy lakini siwezi kushindwa kujieleza mbele ya mtu yeyote.Aah sawa mkuu,ila kama kauwezo kapo pambana mkuu mpeleke private mkuu atapata ka elimu katakako muwezesha hapo mbeleni akawa na kauwezo ka kuji express him/her self mbele ya wasomi Wa mataifa mengine kwa ujasiri.
Hivi unajua kwa nini Baba yetu mpendwa aka RAIA no one alituaibisha alipoulizwa kaswali kadogo na mwandishi Wa habari akiwa na museveni,ye akajibu tu simple eti do you rove corruption.
Changamoto hasomi shule ya kutwa muda mchache sana wako mtaani,ila issue ya corona ikasaidia akakaa kitaa muda mrefu.Hivi kumbe na Kiswahili ni kipengele kwa Mtoto wa Kibongo, itakua mwanao alizaliwa Uganda au Australia au wazazi huwa hamuongei kiswazi nyumbani na pengine hata mtaani kiswahili ni kipengele.
Nina mmoja kwa sasa ila naplan niongeze wengine wa 4Bro una watoto? If yes, wangapi?
Shule ya Kayumba wanayosoma watoto wa viongozi haiwezi kuwa ya kipimbi mzee 😁😁😁!Shule za kayumba ni za kipimbi mi sina kitu ila nikiwa hai na nguvu zangu sitakubali mwanangu apitie niliyo yapitia Eee Mungu nisaidie
Haswa.. utofauti wake ni lugha tuu.Mkuu tusiime wanatumia syllabus anayofundishwa mtoto wa huko Lindi vijijini ?
Ubungo vijijini semaNaishi dar es salaam ubungo , kata ya makuburi
Huo ndio utopolo Pro Max! Yani ukishindwa ma Ada huko sindio fedhea kubwa zaidi.Ukimsomesha mwanao kayumba mtaani unachekwa,kuna mother mtaani kapanga chumba kimoja halafu anamsomesha mwanae efemu akademia anachukuliwa na gari.......Ni maamuzi tu tuwaache mambo yakiwa magumu watawarudisha KAYUMBA.
Ok. Binafsi naona elimu ni msingi wa maendeleo ya wanangu. Na elimu hapa ni zaidi ya kufaulu darasani.Nina mmoja kwa sasa ila naplan niongeze wengine wa 4
Huo ndio utopolo Pro Max! Yani ukishindwa ma Ada huko sindio fedhea kubwa zaidi.
Mkuu ungejua kuwa Dunia inakuwa na pia inazeeka,dunia ya sasa hivi ni nyingine yani ni kama kakijiji Fulani.Mimi sijasoma huko Academy lakini siwezi kushindwa kujieleza mbele ya mtu yeyote.
Tunahadaika kirahisi sana.. watoto wengi wa Academy wanajua kiingereza kidogo na kiswahili kidogo.. huo ndio ubaya..
Mawazo yao mengi yanaathiriwa. Na mazingira ambayo ni ya kiswahili.. anajifunza nadharia kwa kizungu.. halafu aje awe mbunifu wa kuzitumia nadharia hizo kwa kiswahili kuvumbua haiwezekani.
Watoto walipaswa wasome kila somo kwa kiswahili.. mwalimu angekuwa na uwezo wa kuwa extra na kuaccomodate knowledge mpya kirahisi.. na elimu ingekuwa relevant. na wapate waalimu wa kingereza ikibidi kutoka Uingereza wawafundishe lugha ya kiingereza.
Nadharia content yake haibadilishwi na lugha. Ukifunza hesabu kwa kichina, kiarabu au kiingereza inabakia kubwa hesabu tuu... Mpe mtoto ujasiri wa kujifunza katika lugha ambayo anauhuru nayo.. hizo nyingine ni lugha tu za kuwasilisha anachokijua.
Usipende kujifanya mwana falsafa kwenye uharisia inamaana hujui.