Unajua maan ya university? Subiri nikupe tafsiri university ni universal thing yani hapo hakuna private wala kayumba kwasababu unamzungumzia kayumba mwenye uwezo mpaka kafika chuo twende chini kidog nd tutaona magape yakija matokeo ya form 4 au 6 lete takwimu za kayumba na private utagundua ki2 hapo. Kwa idadi ya shule z serikali zilivo nyingi bongo wanachuo wangekuwa wengi sana ila kikukweli wengi hawamake tofauti na private japo wachache ila wanamake asilimia kubwaChuoni ndo nimegundua kuwa wale walosoma private na government kumbe wanakutana na hapa atakayekuwa mzembe anaachwa na mtu active anasonga mbele...wala hawana tofauti.
Kama mzazi utaona mwanao kuna mahali anapwaya, mpeleke private, ila kama unajua ni jembe, hakuna haja ya kumpeleka private.
Nimesoma shule zote, naelewa.
wadogo zangu walonifata wote nlimshauri mzee awaache government na kwa sasa mmoja yupo chuo na anaperform vzur tu.
wengine wapo advance.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app