Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio maana mpaka sasa Tanzania, shule za serikali za advance zinaongoza kwa ufaulu!, kule hakuna changa la macho ni "if u know you know, if u dont know na english yako basi huna maajabu'.huyo kijana wako anakutana na A level vilaza mkuu, tena A level wa masomo ya Art. Lakini A level wanaosoma sayansi physics, chemistry, math, biology haya masomo hayahitaji ujue kiingereza ni kumeza kwako kanuni, michoro, kukokotoa hesabu, na kuzikuma projectile, hapo kama huna akili ya kuzaliwa hata uwe ujue kiinglish kichwa kinagoma tu.
Hii haiwezekani mkuu.ndio maana mpaka sasa Tanzania, shule za serikali za advance zinaongoza kwa ufaulu!, kule hakuna changa la macho ni "if u know you know, if u dont know na english yako basi huna maajabu'.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ni mwendo wa kukariri tu.huyo kijana wako anakutana na A level vilaza mkuu, tena A level wa masomo ya Art. Lakini A level wanaosoma sayansi physics, chemistry, math, biology haya masomo hayahitaji ujue kiingereza ni kumeza kwako kanuni, michoro, kukokotoa hesabu, na kuzikuma projectile, hapo kama huna akili ya kuzaliwa hata uwe ujue kiinglish kichwa kinagoma tu.
Ongeza round ya kwnza imeisha... Mtoto wa miaka sita anaweza kupanga hoja kwa ujasiri hadi naogopa kitu ambacho me wa kayumba hata nikiwa high school nlikuwa siwez halafu leo eti nimpeleke kata... Kweli ntakopa kikoba mwanangu asome inglish midiyam
english haina umuhimu wowote kwenye sayansi labda kwenye history huko, lakini sayansi ni Ujiniazi wako tu mkuu. Wewe endelea kubishana na sisi tu.Kumbe ni mwendo wa kukariri tu.
English ni muhimu tu hakuna excuses za kueleweka.
Wengi wanaumia ndani kwa ndani ndio angalia tu utaona wanavyocomment.
Mimi najua nachokiandika sababu nakishuhudia mwenyewe na wala sibishani.english haina umuhimu wowote kwenye sayansi labda kwenye history huko, lakini sayansi ni Ujiniazi wako tu mkuu. Wewe endelea kubishana na sisi tu.
1)Ungekuwa English mediam ungeweza kuwa smart zaidi.Acha uongo mkuu, nimesoma shule za kataa mkuu, nimesoma na hao english medium advance na university, kwa kifupi hawajai kunimakata kwenye anga zangu katika masomo. Narudia tena hawajawahi, huwa nawakalisha chini na kuwapiga kitabu.
SidhaniHivi huu msemo Wa eti watoto wanaosoma shule za academies sijui private school eti wanaishia kujua lugha tu, mi natofautiana na wewe mkuu, Kijana wangu yuko std seven hizo shule, sikifichi anawa challenge hata majamaa waliosoma hizo ma A level za kata na wanamkubali mbaya.
hahahahaaaaaa hesabu hata iwe kwa lugha ya kiswahili kama akili hazichaji huwezi kufauru.Mimi najua nachokiandika sababu nakishuhudia mwenyewe na wala sibishani.
Physics na masomo ya science yote ni tatizo kwenye shule za kata sababu ya lugha hawaelewi hivyo wanakariri tu au wanaita kumeza.
Hivyo wanakesha kutwa kucha usiku na mchana wakikariri kanuni nk then wanasahau baada ya muda mchache tu.
Ila kama unaelewa lugha unasoma mara moja tu na kuelewa wala hakuna kigumu na hakuna kusahau sababu umeelewa.
Na huwezi ukasema English haina umuhimu wakati hayo masomo ya science yote yanatumia English.
English ni essential kivyovyote vile na haikwepeki kama kweli unaju umuhimu na maana ya elimu.
Kama unafikir elimu ni garama jaribu ujinga.Habari wadau..
January imeisha .. wazazi wengi walikuwa wanalalamika school fees tatizo.
Kwa maoni yangu kama mtu huna mali za kutosha, huna kampuni ya kueleweka wala huna mtaji wa kutosha... baba mzazi wewe mwenyewe unategemea ajira za laki nane ama milioni moja, kusomesha watoto wako shule za gharama sio jambo zuri.
Hakuna CEO Mtanzania ambaye ameajiriwa ambaye hayupo kwenye kampuni ya baba yake kama Mo, ambaye amesoma international schools, ama shule za bei nafuu za kiingereza ambazo tunaita english medium... tukumbuke english medium zipo Tanzania miaka kibao kama IST, Arusha school ama Olimpio.
Kuna CEO wengi wazawa kama Dada CEO wa NMB Ruth Zaipuna ama wa CRDB Majid Nsekela na wengine wengi hawajapita Olimpio wala Arusha schools enzi ambazo wanasoma msingi zilikuwepo tayari ila wamepata nafasi kubwa kwa uwezo wao binafsi wa kazi..
Mzazi ambaye huna hela za kutosha peleka mwanao shule za bei nafuu kisha msimamie mwanao vizuri, kila siku mfatilie. Hela ya ada ya kulipa Tusiime nunua asset unazozimudu mwanao zitamsaidia kuliko kumlipia ada mamilioni.
hichi kilimo cha matikiti onlineSehemu tulipowezwa ni hapa..
Mtoto wako, anakuja kuishi Tanzania hiii hiii unahangaika awe mzungu..hahaha.. na anafundishwa matatizo ya kizungu, kwa lugha ya kizungu..akitoka huko ameshakuwa mzungu anakuja kwa watanzania mtaani anaanza moja.. 🙂
Na cha kufurahisha ni sisi wazazi ndio tunakuwa tumewanunulia watoto wetu hiyo delay huku mtaani. Elimu tuliyomnunulia ndio imekuwa kikwazo..
Bora kila mwaka ungekuwa unamnunulia mtoto ng'ombe nne.. anasoma shule ya laki tano kwa Temu.. akija kumaliza shule anakuwa na ng'ombe 68, ukiweka kuzaa na kufa hakosi ng'ombe 100 kwenye kipindi cha miaka 16 ya kusomea elimu.
Na elimu yenyewe ndio imekuwa uchuro uchoro mtupu
Tatizo muda wa kumsimamia mwanaoHabari wadau..
January imeisha .. wazazi wengi walikuwa wanalalamika school fees tatizo.
Kwa maoni yangu kama mtu huna mali za kutosha, huna kampuni ya kueleweka wala huna mtaji wa kutosha... baba mzazi wewe mwenyewe unategemea ajira za laki nane ama milioni moja, kusomesha watoto wako shule za gharama sio jambo zuri.
Hakuna CEO Mtanzania ambaye ameajiriwa ambaye hayupo kwenye kampuni ya baba yake kama Mo, ambaye amesoma international schools, ama shule za bei nafuu za kiingereza ambazo tunaita english medium... tukumbuke english medium zipo Tanzania miaka kibao kama IST, Arusha school ama Olimpio.
Kuna CEO wengi wazawa kama Dada CEO wa NMB Ruth Zaipuna ama wa CRDB Majid Nsekela na wengine wengi hawajapita Olimpio wala Arusha schools enzi ambazo wanasoma msingi zilikuwepo tayari ila wamepata nafasi kubwa kwa uwezo wao binafsi wa kazi..
Mzazi ambaye huna hela za kutosha peleka mwanao shule za bei nafuu kisha msimamie mwanao vizuri, kila siku mfatilie. Hela ya ada ya kulipa Tusiime nunua asset unazozimudu mwanao zitamsaidia kuliko kumlipia ada mamilioni.
Kayumba ya sasa hari ni mbaya sana...sio tuliyosoma sisi..pili wale walimu na matution tuliyoyasoma hayapo tena walimu wa sasa wito huo pia hawana kabisa.Mkuu ungejua kuwa Dunia inakuwa na pia inazeeka,dunia ya sasa hivi ni nyingine yani ni kama kakijiji Fulani.
Ni uwezo tu hatuna ila kila mzazi anatamani hata mtoto wake a some Tanganyika au braeburn,yaani asisome ungese wa NECTA.
Yaani akifika la tatu akifaulu anarushwa la tano mambo ya Cambridge full.
Mtoto Ana miaka 21 tayari ni pilot.
Lakini ndo hivyo uwezo hatuna basis za bure zinatuhusu.
So unajua zetu wabongo mwenye vxr l/cruiser anamuheshimu mwenue vitz ila mtembea kwa miguu anamdharau mwemnye vitz,eti naue atasema ana Gari.
Ndimi comedian wako chiburabhanu.
humu unajua % kubwa wote mlipasua kwa msuri sana...mlikuwa kichwa zipo shule nzuti na affordable embu siku tembelea kayumba check darasani...msikilize mwalimu...anavyofundisha pia ns mszingira ya shule na vyoo nk...Hilo halina mjadala mkuu, ila personally siwezi ku toil kwenda kuspend mahela Tusiime wakati kuna shule za serikali nzuri tu ambazo ukimpeleka mtoto ana excel bila shida. Kikubwa ni mtoto awe kichwa tu! Kokote atatoboa.
Wanajifariji tu hawa!Hivi huu msemo Wa eti watoto wanaosoma shule za academies sijui private school eti wanaishia kujua lugha tu, mi natofautiana na wewe mkuu, Kijana wangu yuko std seven hizo shule, sikifichi anawa challenge hata majamaa waliosoma hizo ma A level za kata na wanamkubali mbaya.
Kwahiyo huko Kayumba schools ndio wanafundishwa reasoning?Hawana exposure..na kujiamini.
Kujua lugha hakukufanyi smart... Au kujua kabla ya mwingine hakukufanyi uwe na akili zaidi yake.. mtoto anatakiwa ajue hilo mapema maishani.
Elimu ni kutafsiri maarifa uliyopewa au kupata katika maisha yako ya kila siku. Mtoto anajua kiingereza hajui kufunga kamba za viatu inamsaidia nini!?
Mtoto anajua kiingereza hawezi kwenda sokoni mwenyewe na kurudi itamfaanini!?
Logic and Reasoning ndio muhimu. Kwa level za chini watoto wanatakiwa kuwa curious... Mid ages waweze kuleta connection na theory na uhalisia katika maisha yao.. mtoto awe huru atleast saa 9 saa kumi aende akacheza apumzike kutoka shule ... Ukizidisha hapo unaua curiousity mtoto anakuwa duster ananyonya kila kitu kama kilivyo without Reasoning