Kama tafsiri ya kubaka ni kumwingilia mtu kimapenzi bila ridhaa yake, basi vijana wengi walipaswa wawe mahakamani

Kama tafsiri ya kubaka ni kumwingilia mtu kimapenzi bila ridhaa yake, basi vijana wengi walipaswa wawe mahakamani

Nimeshawahi jiuliza ubakaji unaofanyika chumbani kati ya mme na mke et mmoja anaweza pima HIV ikasoma +ve hafu mwingine -ve, haya maisha bana yamejaa uongo tuu.
Hiyo mbona ipo sana tu, google maana ya discondant positive uone. Kuna baadhi ya watu ktk chembe nyeupe za damu zao, hawana vipokezi vya HIV, vinaitwa CCR5 au CXCR4, huyo hata umuongezee damu yenye virus, haumwi.
 
Shida yako ushamba na mahaba hujui.ama umeoa kikubwa uwe kwenye ndoa.kuna waliooana kwa upendo kama huyo jamaa hapo.sie wanawake hata uwe huna mood hata kuumwa tukiguswa ama kuchezewa tu kule chini tunakuwa wet tunataka wenyewee maana umeliamsha dude...

Sasa wewe unajikuta kidume kumaparamia mwanamke wako kabisa na kumchubua unaona fahari.we imagine mtu kapatwa na majanga,kama misiba,kapoteza pesa,ama duka limeungua anawaza maisha yatakuwaje nk..hiyo mood ya kuwaza ngono aitoe wapi?
Sa hapo si. Ndo unajaribu hata kumpa neno la faraja hata umwambie usijali kila kitu kitakua sawa.then start ur things down there,unaweza hata kumfariji na kumsahaulisha machungu...umeona eeh!

SHIDA YAKO NI USHAMBA WA MAPENZI!
huu ujuzi umeutoa wapi

we si ulisema una ukame wa miaka 7😬
 
Umeandika oxy-moron. Kubaka na ndoa ni vitu viwili tofauti sawa na kusema mchana usiku. Havikai pamoja.

Wengi wanaingia kwenye ndoa wakiwa hawajui haki na wajibu wa ndoa kwa wanandoa (mke &Mume).
Ndoa ni mkataba. Masharti yake ni kuwa Mume apate haki ya tendo la ndoa kila anapojiskia hamu (toa siku ambazo mwanamke yupo katika siku zake, au ametoka kujifungua (nifasi) au ni mgonjwa mahututi) .

Suala la kusema hayupo kwenye mood halipo katika mkataba wa ndoa. Ni mambo yanayoletwa na wamagharibi ili kumpa kichwa mwanamke kwenye ndoa, lengo kuu ni kuuvuruga huu utaratibu wa ndoa aliouweka Mungu.
Mwanamke as long as wewe ndio unamhudumia mahitaji yake yote ya msingi, anatakiwa akupe utamu muda wowote utakaojisikia iwe mchana ama usiku hakuna mjadala hakuna siko kwenye mood.

Yaani nimedindisha uniambie hauko kwenye mood, mood itakuja mboo iko ndani na kama isipokuja pia ni sawa.
 
Shida yako ushamba na mahaba hujui.ama umeoa kikubwa uwe kwenye ndoa.kuna waliooana kwa upendo kama huyo jamaa hapo.sie wanawake hata uwe huna mood hata kuumwa tukiguswa ama kuchezewa tu kule chini tunakuwa wet tunataka wenyewee maana umeliamsha dude...

Sasa wewe unajikuta kidume kumaparamia mwanamke wako kabisa na kumchubua unaona fahari.we imagine mtu kapatwa na majanga,kama misiba,kapoteza pesa,ama duka limeungua anawaza maisha yatakuwaje nk..hiyo mood ya kuwaza ngono aitoe wapi?
Sa hapo si. Ndo unajaribu hata kumpa neno la faraja hata umwambie usijali kila kitu kitakua sawa.then start ur things down there,unaweza hata kumfariji na kumsahaulisha machungu...umeona eeh!

SHIDA YAKO NI USHAMBA WA MAPENZI!
Hahahah kwani vilainishi si vipo? Lengo la kuolewa ni kumfurahisha mwanaume na siyo ufurahishwe wewe!. Kwanza kwa id yako tu na jina unaonekana ni wale akina Mwajuma Ndala Ndefu[emoji38]

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Muulize huyo jamaa..maana hata sie ni binadamu tunaishi,tuna changamoto.sasa mtu akisema leo hana mood we unasemaje ni mambo ya magharibi kama sio upungufu wa akili.anasound kama vile ukioa umepata chombo cha starehe lakini ni binadamu mwenzio.

We umepjnguzwa kazini unarudi home kazi huna.mkeo kashinda kwenye sherehe anataka haki yake unamjibu sina mood..haya huo nao ni umagharibi?
Jitahidini kuwa wenye akili timamu na waelewa.ama hamuwezi kaoeni kijijino kwenu mmalizane mshamba na mshamba mwenzie!
Hahahaha sasa mbona kama unalia?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Hapana hapo sikubaliani na kauli yako. Kumuandaa mwanamke kabla ya kuingiza dushe ni jambo lililokuwepo toka enzi na enzi.Halikuletwa na wazungu.Kwasisi waislam ,Mtume Muhammad (pbuh) alifundisha suala hili miaka 1400 iliyopita kabla hata ya ujio wa wazungu hapa barani Africa.

Kuna faida nyingi za kumuandaa mwanamke kabla ya tendo lenyewe. Ukimuingilia mwanamke pasi na kumuandaa vizuri unaweza kumsababishia michubuko ukeni na vilevile ukampelekea akachukia tendo lenyewe.

Hivyo ni vyema mkachezeana kidogo ili kuupa nafasi uke wa mwanamke ulowe kiasi ili mfurahi wote wakati wa tendo. Pia husaidia kujenga mapenzi zaidi. Tofauti na wale wahaya wauzaji papuchi ambao ukifika wao wanataka uchomeke tu. Kitu ambacho hakileti msisimuko wala raha yoyote
Umeshasema "kwa sisi Waislamu", tayari ume adopt huo utamaduni na si wa Muafrika, ni wa Muarabu.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Mood ni nini? Huu ni ujinga wa kuendekeza mood,halafu kesho nikienda kupiga nje utasikia analalamika umekosa nini kwangu.
Dawa ni kunyunyiza mafuta ya nazi unapiga zako papuchi unalala.Wengine tukiwa na kipururu hata usingizi hatupati halafu nianze kubembeleza mtu ni ujinga huo.
Hahahahahah... kilainishi au siyo?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke as long as wewe ndio unamhudumia mahitaji yake yote ya msingi, anatakiwa akupe utamu muda wowote utakaojisikia iwe mchana ama usiku hakuna mjadala hakuna siko kwenye mood.

Yaani nimedindisha uniambie hauko kwenye mood, mood itakuja mboo iko ndani na kama isipokuja pia ni sawa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom