OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Foo akuna mwanamke asopenda dudu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piga kaziHuu upuuzi wa kubembelezana kibwege wengine hawauwezi... huwezi kubembeleza kila mahali...
Wanadamu hatufanyi mapenzi kama wafanyavyo wanyama wa mwituni. Huwezi kumfunua mwanamke na kuanza kuchomeka tu pasi na kumuandaa na vilevile hakuna uthibitisho wowote kuwa utamaduni wa mwafrika ni kumuingilia mwanamke bila ya kumuandaa. Kama una uthibitisho utuwekee hapaUmeshasema "kwa sisi Waislamu", tayari ume adopt huo utamaduni na si wa Muafrika, ni wa Muarabu.
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Sasa mbona umejijibu? Wewe umeanza kusema kuwa "sisi Waislamu"... means ume adopt tamaduni za kiarabu na si za kiafrika...! Okay, kwani wewe kuandaana na habari za kuchekana maumbile mfano kibamia na bwawa umeanza kusikia mwaka gani?Wanadamu hatufanyi mapenzi kama wafanyavyo wanyama wa mwituni. Huwezi kumfunua mwanamke na kuanza kuchomeka tu pasi na kumuandaa na vilevile hakuna uthibitisho wowote kuwa utamaduni wa mwafrika ni kumuingilia mwanamke bila ya kumuandaa. Kama una uthibitisho utuwekee hapa
Hao mababu zako walikuwa wakitumia mafuta gani kulainisha?Sasa mbona umejijibu? Wewe umeanza kusema kuwa "sisi Waislamu"... means ume adopt tamaduni za kiarabu na si za kiafrika...! Okay, kwani wewe kuandaana na habari za kuchekana maumbile mfano kibamia na bwawa umeanza kusikia mwaka gani?
Turudi madani, kwani hakuna mafuta ya kulainisha? Je, wewe utamuandaa kila utakapohitaji? Uume umedinda uanze kumuandaa lisaa au dk 30 nzima mpaka awe on mood? Utakuwa timamu?
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Suala ni wao kutumia aina ya mafuta au wao kutoandaana? Nimekuuliza ni miaka gani ulianza kusikia habari za kudhihaki maumbile ie kibamia, bwawa na masuala ya kuridhishana?Hao mababu zako walikuwa wakitumia mafuta gani kulainisha?
Mapenzi ni hisia na tendo la ndoa si la chomeka chomoa tu. Nyie ndio ambao mnakuja kuweka nyuzi hapa JF kuwa mmegongewa wake zenu.
Ukikutana nae unamparamia tu na kumchubua uke wake halafu akitoka nje anakutana na mtu anayejua kumuandaa vizuri na kumfanya afurahie tendo.
Wewe una uhakika upi kuwa hugongewi mke wako? Unaweza kuthibitisha kuwa hugongewi?Hao mababu zako walikuwa wakitumia mafuta gani kulainisha?
Mapenzi ni hisia na tendo la ndoa si la chomeka chomoa tu. Nyie ndio ambao mnakuja kuweka nyuzi hapa JF kuwa mmegongewa wake zenu.
Ukikutana nae unamparamia tu na kumchubua uke wake halafu akitoka nje anakutana na mtu anayejua kumuandaa vizuri na kumfanya afurahie tendo.
Unataka nikuthibitishie kama nani?Wewe una uhakika upi kuwa hugongewi mke wako? Unaweza kuthibitisha kuwa hugongewi?
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Kama mtu ambaye nataka kuamini kuwa unafahamu unachoongea!. Narudia, wewe unajuaje kuwa hugongewi?Unataka nikuthibitishie kama nani?
Ninapozungumzia uislam unafundisha kuwa mwanaume unapotaka kumuingilia mwanamke ni sharti umuandae simaanishi kuwa ni desturi iliyoanza kwa waarabu tu.Uislam unekuwepo toka kipindi cha baba yetu Adam. Na yeye ndiye muasis wa uzao wetu sote ulimwenguniWewe una uhakika upi kuwa hugongewi mke wako? Unaweza kuthibitisha kuwa hugongewi?
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Hata nikikuambia itakusaidia nini?Kama mtu ambaye nataka kuamini kuwa unafahamu unachoongea!. Narudia, wewe unajuaje kuwa hugongewi?
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Kumbaff. Usituletee utaaahira wa kizungu. Ukiachia hiyo kitu, kila kitu mwanamke alikiacha kwao. Hakuna ubakaji katika ndoa. Kama upo ni assumption ya kifala tu. Ukumbaff ni ile hali ya ku-generalize wanandoa soteHali zenu,
Baada ya tafakuri ya muda mrefu na kuunganisha matukio nimebaini haya;
Wanawake kamwe hawawezi kusema wala kulalamika wanabakwa, wakiwa kwenye mahusiano na wanaume wanawapenda au wanaojulikana na ndugu na jamaa zao. Wanaume tunabaka sana tu, hasa tuliooa, tuwe wakweli tu.
Imagine mkeo hajisikii vizuri (haumwi ila hana mood kwa muda huo) na wewe unahitaji na mashine inanesa nesa ndani ya boksa, hapo lazima ubake tu, ukizingatia ni usiku na mpo chumbani watoto wameshalala. Wanaume tunabaka sana tu.
Sema hawezi kukushtaki kwa sababu anajua ukishaolewa kiuhalisia "hakuna kubakwa" isipokuwa propaganda za magharibi tu za kuharibu ndoa.
Yaani ni kutafuta mafuta kupaka kisha kusukuma taratibu ili asichubuke, hakuna namna hapo. No kumchezea wala nini, na yeye anakusubiri umalize apumzike, yaani anafanya kukuridhisha wewe kwa kuwa una uhitaji.
Hebu imagine na boksa za siku hizi zilivyo laini yaani kule kusugua sugua kichwa tu unashangaa mashine hiyo bhana.
Kubaka ndoani hakuepukiki, siyo ndoani tu hata kwenye mahusiano hakuepukiki.
NB: Simaanishi kule kwa kutumia nguvu, hapana!
Daaah, anayebisha aje hapa na aseme kuwa "mimi sijawahi kubaka". Alaa
Ni Adamu alikuwa Muislam na ndiye aliyeasisi kuandaana, au ni Uislam uliokuwa wakati wa Adamu ndiyo uliasisi kuandaana?Una
Ninapozungumzia uislam unafundisha kuwa mwanaume unapotaka kumuingilia mwanamke ni sharti umuandae simaanishi kuwa ni desturi iliyoanza kwa waarabu tu.Uislam unekuwepo toka kipindi cha baba yetu Adam. Na yeye ndiye muasis wa uzao wetu sote ulimwenguni
Hao mababu zako ambao hawakuwa na ufahamu wa kuwa wanatakiwa wawaandae wake zao kabla hawajawaingilia walikuja maelfu ya miaka baada ya kuondoka kwa Adam.
Anyway, ni kipindi gani kitakwimu tu za haraka, ambapo ndoa zinadumu na familia zipo imara, kati ya kipindi cha zamani(miaka ya 2000 kushuka chini) na cha sasa?Una
Ninapozungumzia uislam unafundisha kuwa mwanaume unapotaka kumuingilia mwanamke ni sharti umuandae simaanishi kuwa ni desturi iliyoanza kwa waarabu tu.Uislam unekuwepo toka kipindi cha baba yetu Adam. Na yeye ndiye muasis wa uzao wetu sote ulimwenguni
Hao mababu zako ambao hawakuwa na ufahamu wa kuwa wanatakiwa wawaandae wake zao kabla hawajawaingilia walikuja maelfu ya miaka baada ya kuondoka kwa Adam.
Sasa ulisema ya nini kuwa kuna watu wanalalamika humu kuwa wanagongewa kwa sababu hawawandai wake zao?Hata nikikuambia itakusaidia nini?
Hahaha mzee wangu Father of All bila shaka umesoma Ulaya halafu unakataa utamaduni wao[emoji23]Kumbaff. Usituletee utaaahira wa kizungu. Ukiachia hiyo kitu, kila kitu mwanamke alikiacha kwao. Hakuna ubakaji katika ndoa. Kama upo ni assumption ya kifala tu. Ukumbaff ni ile hali ya ku-generalize wanandoa sote
Nani alikwambia kuwa kabla mwaka 2000 wanaume walikuwa hawawaandai wake zao kabla ya kuwaingilia? Kama wazazi wako wapo hai...nenda kamuulize baba yako kama alikuwa akimuingilia mama yako kama wafanyavyo wanyama?Anyway, ni kipindi gani kitakwimu tu za haraka, ambapo ndoa zinadumu na familia zipo imara, kati ya kipindi cha zamani(miaka ya 2000 kushuka chini) na cha sasa?
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app