Kama tafsiri ya kubaka ni kumwingilia mtu kimapenzi bila ridhaa yake, basi vijana wengi walipaswa wawe mahakamani

K

KY imetengenezwa mwaka gani?
Mwaka 1904.!

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app

Haya jibu maswali yangu, unafahamu ni wakati upi kitakwimu kati ya miaka ya 2000 kushuka chini, na kuendelea, ndoa zinavunjika mno na udhalilidhaji wa kimaumbile ni mkubwa?

Anyway! Hujajibu bado swali langu la awali. Unajuaje kuwa mkeo hagongwi?
 
Acha uongo wewe, Adamu alishahadia wapi mpaka awe muislam? Je quran na hadithi zinaposema muislam wa kwanza alikuwa Muhamad zinadanganya? Uongo mbaya sana. Haya endeleeni na mada zenu nilisema nikurekebishe kidogo hapo.
 
Kumbe nawe ni muhanga?[emoji38] kuandaana kwanza walileta Wamagharibi ili kuharibu mahusiano... zamani hakukuwa na kuandaana na ndoa zilidumu.!

Zamani walikuwa wanafanya tendo la ndoa kwa lengo kubwa kuzaliana na starehe kidogo ila siku hizi tunafanya starehe nyingi kuzaliana kidogo

Ndio maana tunasaka mikongo, tutwange masaa manne au tutwange karibu kila siku au tutwange K nyingi nyingi.

Zamani upoteze nguvu hizo upoteze uzalishaji maana shughuli nyingi za kuzalisha zilikuwa za kutumia nguvu.
 
Kwanini umlazimishe? bado ndoa yak ni changa sana mkuu
 
Nani alikwambia kuwa kabla mwaka 2000 wanaume walikuwa hawawaandai wake zao kabla ya kuwaingilia? Kama wazazi wako wapo hai...nenda kamuulize baba yako kama alikuwa akimuingilia mama yako kama wafanyavyo wanyama?

Anko angu alinihadithiaga enzi za ujana wao mwanzoni mwa 90’s, kuna jamaa moja lipo kwenye miliki ya redio fulan kubwa hapa nchini alikuwa katoka State miaka hiyo ndio alikuwa anawalia madem zao sana mjini kisa alikuja na uzungu wa kuwaendea chumvini madem [emoji23]. Kuna anko wao walikuwa wanaona kitu cha ajabu….

Huko kuwandaa kwengine sijui.
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ushirikiano upi tena?!!
 

[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 
Acha uongo wewe, Adamu alishahadia wapi mpaka awe muislam? Je quran na hadithi zinaposema muislam wa kwanza alikuwa Muhamad zinadanganya? Uongo mbaya sana. Haya endeleeni na mada zenu nilisema nikurekebishe kidogo hapo.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

[emoji119][emoji119][emoji119][emoji1787]
 
Mpwayungu Village hajawahi baka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…