Kama tume huru ya uchaguzi ndio hii ya Kenya basi haitufai ,hii yetu ni Bora mara 1000...,

Sahih kabisa.mr mahera ni kiongoz bora na tume hii ina viwango kushida hata dunia ya kwanza huko.
 
NEC siyo huru. Ndio maana yenyewe ipo dar wanaotangaza matokeo ni wakurugenzi wa halmashauri, manispaa no.Tume Huru maana yake inakuwa na watenda kazi mpaka Chini na wanajitegemea.
Hiyo ya kenya wanaotangaza matokeo ya huko majimboni ni nani?
Uhuru upo wapi wa hiyo Tume ya Kenya kama hata wenye Tume wamegawanyika na hawaiamini tena?
 
Haya twende kwenye hoja moja moja, unapozungumzia serikali ya Kenya unamaanisha Viongozi wao wakuu ambao ni Uhuru na Ruto walimuunga mkono Raila au sivyo?

Kama tume ni kichocheo cha watu kujitokeza kupiga kura una takwimu za wapiga kura waliojitokeza Kenya katika uchaguzi wa juzi? Ni asilimia ngapi?
Kwako hizo asilimia za waliopiga kura ndio kujitokeza?

Una uthibitisho gani literary kwamba kuomba kazi ndio kipimo cha uhuru?

Nipe tofauti ya utangazaji wa matokeo wa Chebukati vs Jecha....
 
Kama Tanzania ni ya wajinga na wapumbavu katiba yao italetwa na waelevu wa Taifa gani?
Naomba msaada Mpumbavu Mwenzangu!
 
Hizo pesa wangeenda kuzuia nzige wasiharibu mazao...
 
 
Haya siyo mawazo ya wananchi wengi bali ya mtu-chawa, anayekerwa sana na uwazi na umadhubuti wa uchaguzi wa Kenya. Hoja yake ya msingi ni kuhalalisha maigizo ya uchaguzi yanayofanyika hapa kwetu. Tutegemee sarakasi zaidi za aina hii tena kwa matendo ya wenye mamlaka mbele ya safari katika kuuhami mfumo unawaowapendelea.
 
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.

CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi ni zitafika tamati hivi punde kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.

It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when these unscrupulous rats will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority fisadis and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.

What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few fisadis whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except fisadis themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava-made boat by which they were sailing!
 
UVCCM mtafika Mbinguni kwa kuvunja dari mkiwa mmechoka Sana.....
 
Paskal Bahat mbaya kila siku unasifu na kuimba mapambio ya kila namna. Bado tu umesahaulika katka teuzi.. yaan mwanasheria mzima kama unavyojiita. Unasema tume yetu ni huru kwa sababu msingi wake ni raisi.???
 
Paskal Bahat mbaya kila siku unasifu na kuimba mapambio ya kila namna. Bado tu umesahaulika katka teuzi..
Kama lengo la mapambio ni kusaka teuzi, then you are right napiga pambio sana lakini nasahaulika, lakini kama leongo la pambio ni hili Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza! its not fair kunihusisha na wasaka teuzi!.
yaan mwanasheria mzima kama unavyojiita. Unasema tume yetu ni huru kwa sababu msingi wake ni raisi.???
Nimesema Tume yetu ni huru kwa sheria iliyounda Tume ila sio shirikishi, na msingi wa uhuru wake ni ule ule wa Bunge na Mahakama!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…