Kama ukiwa huna Bahati (luck) utatumia nguvu nyingi sana kwenye mambo mengi

Nimeelewa na nnasema kutegemea eti kuna "bahati" ni uzembe.

Wapi pameandikwa mtu asijitume au kufanya kazi ategemee Bahati? Wapi umeona watu wanasubiria bahati kwenye huu mjadala?
 
Ukija kwa wazungu ni kweli wanaakili sana ila wana Bahati sana Kuna mambo hawatumii nguvu kuyaelewa ni tofauti na race nyingine
Wewe ni Mzungu? kama sio mzungu then unajuaje kwamba wazungu kuna baadhi ya mambo hawatumii nguvu kuyaelewa tofaouti na race nyingine?
 
Opportunity comes to those who are prepared for it. Ukipambana lazma utakutana nayo...hata bible ilishaandika japo sikumbuki kifungu. Hata hao wachaga na wazungu hawakai tu kusubiri bahati. Wanakutana nayo kwenye Hussle ma nigga
 
Nimesoma, hapo ndio umeona watu wasifanye kazi wategemee bahati?
Wewe wacha kubishana kitoto, kama hujanielewa sepa tu, wapo wataonielewa.

Sipo hapa kubishana, nipo hapa kuelimisha japo kiduchu nilicho nacho. Elewa utavoelewa, upo huru.
 
Usiseme kama huna bahati,sema kama huna connection
 
Exposure na Uko Circled na Watu wa namna gani ndio kuna determine Destiny yako, Hakuna Mambo sijui ya Mungu wala Bahati wala nyota
 
Wewe wacha kubishana kitoto, kama hujanielewa sepa tu, wapo wataonielewa.

Sipo hapa kubishana, nipo hapa kuelimisha japo kiduchu nilicho nacho. Elewa utavoelewa, upo huru.

Basi tufanye sijawa na bahati ya kukuelewa unachoelimisha hapa.
 
Exposure na Uko Circled na Watu wa namna gani ndio kuna determine Destiny yako, Hakuna Mambo sijui ya Mungu wala Bahati wala nyota
Usimshirikishe Mwenyezi Mungu na Bahati na Nyota. Hiyo ni shirki, Mwenyezi Mungu hashirikishwi na chochote.

Hiyo unayoiita "destiny" ndiyo nini hiyo/hicho?
 
Exposure na Uko Circled na Watu wa namna gani ndio kuna determine Destiny yako, Hakuna Mambo sijui ya Mungu wala Bahati wala nyota

How do you ensure " uko circled na watu wa namna flani?"
 
Usimshirikishe Mwenyezi Mungu na Bahati na Nyota. Hiyo ni shirki, Mwenyezi Mungu hashirikishwi na chochote.

Hiyo unayoiita "destiny" ndiyo nini hiyo/hicho?

Mambo ya nyota siyafaham na hua siyaamini. Lakini kuhusu bahati nnaielewa sana. Kwetu wakristo imeandikwa hata katika Biblia.

Mhubiri 9:11​

Tena, nimeona kitu kimoja hapa duniani, kwamba wenye mbio hawafaulu katika riadha, wala wenye nguvu hawashindi vita; wenye busara hawapati chakula, wenye akili hawatajiriki, wala wenye ujuzi hawapandi vyeo; lakini wakati wa bahati huwapata wote pamoja.
 
Maneno ya nani hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…