Kama uko smart kichwani, usiishi Tanzania. Nenda kaishi moja kati ya hizi nchi 10 utanishukuru baadaye

Yeah,kweli kabisa....watu wapo Tz na mambo ni poa tu
Swala la maisha mazuri huwaga ni fumbo, ukienda abroad kuna baadhi ya watanzania wanaishi kama digidigi wanaishi maisha magumu sana

Na hapa hapa Tanzania kuna watu wanaishi kama peponi wengine kawaida wengine katika wimbi la umaskini

Maisha ni fumbo zito sana
 
Sasa mbona jamaa katoka Canada amechoka kaisha balaa ana hasira kaanza kuvamia bodaboda na wachungaji wakati alivyokuwa Tz alikuwa smart sana huko karudi amevurugika ile mbaya.
 
Kabisa mkuu
 
Sasa mbona jamaa katoka Canada amechoka kaisha balaa ana hasira kaanza kuvamia bodaboda na wachungaji wakati alivyokuwa Tz alikuwa smart sana huko karudi amevurugika ile mbaya.
Ukienda mahali ambapo ni tofauti na ulipokuwa, hata uwe mjanja namna gani
Ukiona baiskeli imetupwa unaokota
Sasa jamaa ni ushamba umemzidi mpaka ameshindwa kuvumilia yanamtoka tu masikini

Ataropoka sana ndio wale wakirudi story zao wanazirudia hata miaka 10 mpaka watu wanamchoka wanamuona kama chizi

Na huyu ameishachokwa kabla hajaanza
 


Ni nchi 9, Denmark×2
 
Halafu ukaishia kurudi Tanzania!?? Kumbe na wewe hauko smart!!!
 
Hapo kwenye red ungefafanua kidogo vitu kama bei elekezi machimbo na specie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…