Kama uko smart kichwani, usiishi Tanzania. Nenda kaishi moja kati ya hizi nchi 10 utanishukuru baadaye

achana na mjinga huyo...kuna watu wanaishi katika ndoto za wengine. Akisoma simulizi ya mtu mwingine, anaibuka nayo kama yake
 
Huko unapo patamani babu zao wasingekua smart wakawa wapenda mtelezo kama wewe wakatelekeza miji yao unafikiri we leo ungepatamani?
 
Ahsante mkuu tusaidie na fursa za kikazi ukipata connection hata tuziombe tu.
 
achana na wanasiana wa Afrika.. Mwanasiasa yeyote kutoka bara la africa matumizi ya uongo kwake ni wa kiwango cha juu kuliko kusema ukweli.
Hiyo ni kawaida kwa binadamu wakati unaona maala flani hakuna fursa kuna wezako wanaona kuna fursa maisha ndivyo yalivyo.
 
Ameishi miezi sita sita kwenye hizo nchi 9 alizoziorodhesha.
 
Hakuna nchi nzuri ya kuishi kushinda nchi uliyo zaliwa, ni swala la kuweka miundo mbinu ya makazi yako na muendelezo wa kiuchumi binafsi, hili uliloongea washauri watu wanaotoka nchi zenye shida kama Somalia n.k

Nyie ndo wale kama walioko Dar es Salaam hua wana tabia ya kuwaita waTanzania wengine eti hao ni wa mikoani, yaani kimtu kilitoka huko huko mikoani tena vijijini Ngara huko Kagera,kikifika Dar miaka mitatu kinasema we wa mkoani. Yote kwa yote maisha bora yako hapa hapa TZ
 
Mkuu mm naomba tu utofauti Kati ya mbususu za dada zetu na za wazungu
 
USA its shit country....wtf. Kama Mcanada huwezi kuwa mbovu hivi kwenye lugha ya Canada.

USA is a shit country (Hii ndio sahihi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…