Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anatamani angeiacha hii nchi kwa wakoloni tuhuko kaburini Nyerere si amegeuka mara 700?
Nimecheka sana hapo. Halafu mshikaji anakunja noti zake vizuri anatia mfukoni huyooooooNdiyo anasituka sasa hivi twende
Kwa ujumla rushwa imemwagwa nchi nzimaHii video nimeiona sehemu ikabidi nipate uhakika kisha niipost.
Hawa ni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana Rushwa hadharani bila woga wala soni. Kama vijana wadogo wanalelewa hivi, je hiki chama kina nia kweli ya kutokomeza rushwa?
View attachment 2423201
Kabisa, bila kupepesa machoKwa ujumla rushwa imemwagwa nchi nzima
Nakubaliana na wewe ila tukio hili kutokea kwenye ardhi aliyozikwa Baba wa Taifa inaonesha ni kwa kiasi gani CCM imekwishaUlikuwa hujui?ccm huwezi kupata uongozi pasipo kuwapa hongo wajumbe,kama huna hela usijiingize kabisa kwenye siasa za ccm,huko ndiko chuo cha wizi nchi hii kilipo,tokea ukiwa mdogo unaelewa kuwa uongozi unapatikana kwa kutoa rushwa tu so tafuta fedha kwa njia zozote zile ili upate madaraka
Nchi nzima ni rushwa tu,hiki chama kimeozaNakubaliana na wewe ila tukio hili kutokea kwenye ardhi aliyozikwa Baba wa Taifa inaonesha ni kwa kiasi gani CCM imekwisha
Dawa ni kuondoa ccm madarakani uingie mfumo mpya tusonge mbele bhana.Hii video nimeiona sehemu ikabidi nipate uhakika kisha niipost.
Hawa ni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana Rushwa hadharani bila woga wala soni. Kama vijana wadogo wanalelewa hivi, je hiki chama kina nia kweli ya kutokomeza rushwa?
View attachment 2423201
Naam ccm itoke hakuna muda wa kusubili.Baada ya Nyerere Kufariki ccm ilijipambanua Kama Chama Cha ufisadi na rushwa
Unahonga Ili upate cheo tena ndani ya Chama je nje ya Chama?
Suluhisho watu siku tuamue tuingie barabarani but shida ya watanzania wakishashiba Mihogo na ugali wanasahau kwamba rushwa inakwamisha Sana maendeleo yao.
Leo hii nchi ipo kwenye giza la umeme sababu ya Rushwa ya mikataba mibovu Kama Richmond, Dowans, IPTL na juzi symbion kalipwa mabilioni bila kodi.
Hiki Chama kinafundisha watoto jinsi ya kuiba pesa za watanzania bahati mbaya mtu akisema ukweli anpewa majina ya kila namna.
Suluhisho la haya ni kuingia barabarani tu hakuna option nyingine!!! Other wise tuendelee kupigwa.
Wanasema wanagawiana upendoMambo yankawaida sana hayo kwa CCM.
Nchi nzima ndivyo mambo yanavyoenda. Hawana wasiwasi kabisa wanagawana tu ufisadi.
CCM itolewe kama nduli Idd Amin Dadaaa alivyoondolewaDawa ni kuondoa ccm madarakani uingie mfumo mpya tusonge mbele bhana.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hiki chama kinanuka rushwaNchi nzima ni rushwa tu,hiki chama kimeoza
wachapwe viboko 24. 12 wakati wanaingia gerezani na 12 wakati wanatoka ili wakawaoneshe wake na waume zaoCCM itolewe kama nduli Idd Amin Dadaaa alivyoondolewa
Wachomwe kwenye tanulu la moto wala rushwa wakubwa haowachapwe viboko 24. 12 wakati wanaingia gerezani na 12 wakati wanatoka ili wakawaoneshe wake na waume zao