Kama una hii pesa na una muda nakushauri nenda nchi hizi kafanye biashara hizi

Kama una hii pesa na una muda nakushauri nenda nchi hizi kafanye biashara hizi

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
904
Reaction score
2,987
Binafsi napenda sana watanzania tufanikiwe na huwa najisikia vibaya watanzania tunavyosota , bongo ngumu sasa nashare experience yangu nA nyie, moja fahamu mimi ni dealer wa usifirishaji wa nafaka na soko langu kubwa ni nchi hizi 1. Congo drc 2. Zambia 3. Malawi ,

kuna fursa nyingi huko ambazo kwa mtazamo wangu ni untouched kabisa wenyeji wa huko bado wanajivuta ,fursa zenyewe ni hizi Malawi wana upungufu wa material za ujenzi hapa namanisha cement, na material za finishing na wamalawi wanapenda kujenga vizuri , but hii nchi custom yao ni umanifu wamalawi hawataki janjA , ndugu zangu wachaga hii nchii haiwafai mtaishia kufa kwa kurogwa, nazani wakinga na nyakusa wanafanya vizuri

zambia wana uhabà na uhaba wa spear kuanzia za gari, tukutuku to machine ain tofauti , peleka spear mpya mzambia ana tamaduni za kizungu anapenda kufanya maintenance sio repair , so spear mpya guniune lazima uokote hawa hata ukizulumu poa tu wengi wakristo mambo ya shiriki yapo mbalo kwao .

congo hawa ******* hawalimi ni wavivu by its nature peleka mazao ya chakula , na hivo vitu nilivyotaja vinapatikana Tanzania.


ukijua kingereza kidogo na ukiwa na at least na million hamsini tafta connection huko. Usije inbox kwangu,
 
Binafsi napenda sana watanzania tufanikiwe na huwa najisikia vibaya watanzania tunavyosota , bongo ngumu sasa nashare experience yangu nA nyie, moja fahamu mimi ni dealer wa usifirishaji wa nafaka na soko langu kubwa ni nchi hizi 1. Congo drc 2. Zambia 3. Malawi ,

kuna fursa nyingi huko ambazo kwa mtazamo wangu ni untouched kabisa wenyeji wa huko bado wanajivuta ,fursa zenyewe ni hizi Malawi wana upungufu wa material za ujenzi hapa namanisha cement, na material za finishing na wamalawi wanapenda kujenga vizuri k ,

zambia wana uhabà na uhaba wa spear kuanzia za gari, tukutuku to machine ain tofauti ,

congo hawa ******* hawalimi ni wavivu by its nature peleka mazao ya chakula , na hivo vitu nilivyotaja vinapatikana Tanzania,

ukijua kingereza kidogo na ukiwa na at least na million hamsini tafta connection huko. Usije inbox kwangu
Vingine mkuu,huko vya kupeleka,kwanza, ahsante Kwa Taarifa.
 
Hata ukipata roho Ndani,roho nje!
Hilo sasa tatizo la nchi Yako , for sure mazingira ya biashara bongo magumu, watumishi wa umma bongo wanna ukiritimba sana kukupa to export permit wanataka rushwa
 
Sio kweli, Congo wanapenda sana mchele wa tz, ukifika congo na mchele wa mbeya au morogoro wataambizana wote, wataununua ukiisha ndo wanarudi kwenye mchele wao
Kongo ipi?
Usinimbie Lubumbashi wakati huko hakuna mabonde ya kulima mpunga..!!

Halafu mchele hata Zambia pia wanapenda mchele wa tz coz Zambia mpunga haukubali…!!
 
Sio kweli, Congo wanapenda sana mchele wa tz, ukifika congo na mchele wa mbeya au morogoro wataambizana wote, wataununua ukiisha ndo wanarudi kwenye mchele wao
Ila hawali ugali wa mahindi wale jamaa sijui shida nini ,usijekurupuka na mahindi utachekwa
 
Back
Top Bottom