Kama una hii pesa na una muda nakushauri nenda nchi hizi kafanye biashara hizi

Vibali vipo watu wanapeleka vyakula huko inatagemea na border ipi unatumia?
Coat of transportation, isije kuwa unapeleke Kilo Moja ya Mchele umenunua Elfu 2, then Nauli ya kufikisha buku na ushee
 
Kuna vya kutoa huko ukavileta bongo, mfano malawi na zambia hawataki outdated products , nunua gari huko kama skrepa katakata valisha kwenye bod zenye usajili bongo uendelee kuteseka na biashara ya gari
Hahaha Mkuu
 
Ongea na mimi vizuri nikwambie unapitishaje mzigo huo..!! 😹😹

Sasa mimi mchele kilo 2 naenda nao Kongo kufanya nini??
 
Kuna vya kutoa huko ukavileta bongo, mfano malawi na zambia hawataki outdated products , nunua gari huko kama skrepa katakata valisha kwenye bod zenye usajili bongo uendelee kuteseka na biashara ya gari
Matrekta Vipi huko?
 
Duh nipeleke millioni hamsini Congo? Bora niwe mganga Tanzania, mtaji Usinga na Kaniki
 
Back
Top Bottom