mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 904
- 2,987
Vingine mkuu,huko vya kupeleka,kwanza, ahsante Kwa Taarifa.Binafsi napenda sana watanzania tufanikiwe na huwa najisikia vibaya watanzania tunavyosota , bongo ngumu sasa nashare experience yangu nA nyie, moja fahamu mimi ni dealer wa usifirishaji wa nafaka na soko langu kubwa ni nchi hizi 1. Congo drc 2. Zambia 3. Malawi ,
kuna fursa nyingi huko ambazo kwa mtazamo wangu ni untouched kabisa wenyeji wa huko bado wanajivuta ,fursa zenyewe ni hizi Malawi wana upungufu wa material za ujenzi hapa namanisha cement, na material za finishing na wamalawi wanapenda kujenga vizuri k ,
zambia wana uhabà na uhaba wa spear kuanzia za gari, tukutuku to machine ain tofauti ,
congo hawa ******* hawalimi ni wavivu by its nature peleka mazao ya chakula , na hivo vitu nilivyotaja vinapatikana Tanzania,
ukijua kingereza kidogo na ukiwa na at least na million hamsini tafta connection huko. Usije inbox kwangu
Uzi hauna nyama halafu nisije inbox haupo serious kiongozi.
Sio kongo yote ina vitaKwahiyo wakongo *******.?
Na watanzania nao wasiolima kina nani?
Hivi kwa vita iliyokuwepo Kongo huo muda wa kulima unaupata wapi?
Kongo maeneo ambayo yana uhitaji wa chakula ni yenye vita..!!Sio kongo yote ina vita
Japo vita sio sehemu zote za nchi. Ni maeneo machache yenye vita,hasa yale yenye madini.Kwahiyo wakongo *******.?
Na watanzania nao wasiolima kina nani?
Hivi kwa vita iliyokuwepo Kongo huo muda wa kulima unaupata wapi?
50M nizipeleke Congo kwa M23?ukijua kingereza kidogo na ukiwa na at least na million hamsini tafta connection huko. Usije inbox kwangu
Hivi kwa vita iliyokuwepo Kongo huo muda wa kulima unaupata wapi?
Jamaa ameshindwa Ku link Kati ya Instability na economic productivityKongo maeneo ambayo yana uhitaji wa chakula ni yenye vita..!!
Hata ukipata roho Ndani,roho nje!Japo vita sio sehemu zote za nchi. Ni maeneo machache yenye vita,hasa yale yenye madini.
Tatizo ni moja . Kupata kibali cha export mazao nje
Jamaa ameshindwa Ku link Kati ya Instability na economic productivithr
Congo yote pana uhitaji wa chakula kwa kiasi kikubwa,ukiona unaogopa kuingia congo ishia kasumbalesa ila hapa pana matapeliSehemu yenye vita DRC ni ndogo sana, ni upande wa kaskazini mashariki...
Sio kweli, Congo wanapenda sana mchele wa tz, ukifika congo na mchele wa mbeya au morogoro wataambizana wote, wataununua ukiisha ndo wanarudi kwenye mchele waoKongo maeneo ambayo yana uhitaji wa chakula ni yenye vita..!!
Hilo sasa tatizo la nchi Yako , for sure mazingira ya biashara bongo magumu, watumishi wa umma bongo wanna ukiritimba sana kukupa to export permit wanataka rushwaHata ukipata roho Ndani,roho nje!
Kongo ipi?Sio kweli, Congo wanapenda sana mchele wa tz, ukifika congo na mchele wa mbeya au morogoro wataambizana wote, wataununua ukiisha ndo wanarudi kwenye mchele wao
Ila hawali ugali wa mahindi wale jamaa sijui shida nini ,usijekurupuka na mahindi utachekwaSio kweli, Congo wanapenda sana mchele wa tz, ukifika congo na mchele wa mbeya au morogoro wataambizana wote, wataununua ukiisha ndo wanarudi kwenye mchele wao
Hakuna nilichoambulia hivyo ategemee ugeni wangu.Anamaanisha kama hadi hapo haujaambulia chochote, basi sio fungu lako.