Vibali vipo watu wanapeleka vyakula huko inatagemea na border ipi unatumia?Japo vita sio sehemu zote za nchi. Ni maeneo machache yenye vita,hasa yale yenye madini.
Tatizo ni moja . Kupata kibali cha export mazao nje
Ha ha ha haya ndugu msomi na mpenda pesa hutaki hasara50M nizipeleke Congo kwa M23?
Kuna vya kutoa huko ukavileta bongo, mfano malawi na zambia hawataki outdated products , nunua gari huko kama skrepa katakata valisha kwenye bod zenye usajili bongo uendelee kuteseka na biashara ya gariVingine mkuu,huko vya kupeleka,kwanza, ahsante Kwa Taarifa.
Coat of transportation, isije kuwa unapeleke Kilo Moja ya Mchele umenunua Elfu 2, then Nauli ya kufikisha buku na usheeVibali vipo watu wanapeleka vyakula huko inatagemea na border ipi unatumia?
Hahaha MkuuKuna vya kutoa huko ukavileta bongo, mfano malawi na zambia hawataki outdated products , nunua gari huko kama skrepa katakata valisha kwenye bod zenye usajili bongo uendelee kuteseka na biashara ya gari
Ongea na mimi vizuri nikwambie unapitishaje mzigo huo..!! 😹😹Coat of transportation, isije kuwa unapeleke Kilo Moja ya Mchele umenunua Elfu 2, then Nauli ya kufikisha buku na ushee
Congo karibu yote mpaka ikulu si salama. Rejea jaribio la mapinduzi dhidi ya Tshekedi mwaka 2024. Jichanganye.Sehemu yenye vita DRC ni ndogo sana, ni upande wa kaskazini mashariki...
Matrekta Vipi huko?Kuna vya kutoa huko ukavileta bongo, mfano malawi na zambia hawataki outdated products , nunua gari huko kama skrepa katakata valisha kwenye bod zenye usajili bongo uendelee kuteseka na biashara ya gari
Umewahi kutembelea Congo au unaijua hii Congo ya BBC na DW?Kwahiyo wakongo *******.?
Na watanzania nao wasiolima kina nani?
Hivi kwa vita iliyokuwepo Kongo huo muda wa kulima unaupata wapi?