Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,226
- 8,961
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio suala la zinaa tu, labda kuacha kabisa ngono sababu HIV mara nyingi anakupa yule unayemuamini. Ambaye humuamini si utajikinga. Yule uliyemzoea na kumuamini ndo anakutandika nao. Limekuwa suala la Ajali zaidi.Tujiepushe na zinaa,hali si shwari mtaani,usijidanganye na ARVs,hakuna dawa nzuri kwenye mwili wa binadamu...
Umeongea ukweli,huko kwenye ndoa ukimwi upo mwingi sanaSio suala la zinaa tu, labda kuacha kabisa ngono sababu HIV mara nyingi anakupa yule unayemuamini. Ambaye humuamini si utajikinga. Yule uliyemzoea na kumuamini ndo anakutandika nao. Limekuwa suala la Ajali zaidi.
Utapata kwa unayemuamini bora ujito.mbee tu....maisha mafupi haya [emoji848]Kwa kweli situmii ndomu mkuu, ndio maana kama ni kuchepuka nakuwa mzito sanaaaa, sanaa mkuu!!
"Yule unaemuamini ndio anakupa gonorrhoea. "Utapata kwa unayemuamini bora ujito.mbee tu....maisha mafupi haya [emoji848]
Mbona wanaomeza hawana shida?...wanaringa kweli kweli na wamenona hatareeTujiepushe na zinaa,hali si shwari mtaani,usijidanganye na ARVs,hakuna dawa nzuri kwenye mwili wa binadamu...
Kweli kabisa"Yule unaemuamini ndio anakupa gonorrhoea. "
Kabisa bora upige puli tu ijulikane moja...ukimwi anakupa yule unayemuamini like husband/ fiancee sijui kitu gani....nje unakuwa makini mnooSio suala la zinaa tu, labda kuacha kabisa ngono sababu HIV mara nyingi anakupa yule unayemuamini. Ambaye humuamini si utajikinga. Yule uliyemzoea na kumuamini ndo anakutandika nao. Limekuwa suala la Ajali zaidi.
Kwenye ndoa, kwa vibinti ambavyo vinaonekana innocent, kwa yule jirani uliyemzoea sana humuoni kama tishio, kwa mpenzi wako wa siku nyingi.Umeongea ukweli,huko kwenye ndoa ukimwi upo mwingi sana
Umeenda wapi Mkuu?Nimeenda hili jibu.
Hili nintrue kabisa...ata mie aliyeniunganisha grid ya taifa nilimuamini sana acha tuu mwanamke mshenzi sana yuleSio suala la zinaa tu, labda kuacha kabisa ngono sababu HIV mara nyingi anakupa yule unayemuamini. Ambaye humuamini si utajikinga. Yule uliyemzoea na kumuamini ndo anakutandika nao. Limekuwa suala la Ajali zaidi.
Amekupa kazi ya kumeza mavidonge. Ila nadhani muda si mrefu mwisho wa vidonge utafika. By the way siku hizi wasio na HIV ndo wana hofu kuliko wenye nayo. Tukitembea na mwanamke tu mawazo ya kupata kama vile tunakufa sa hiyo hiyo.Hili nintrue kabisa...ata mie aliyeniunganisha grid ya taifa nilimuamini sana acha tuu mwanamke mshenzi sana yule
Ah sasa sie tunadunda tuu mwananiwane na corona ilikuja ikadunda nikajua kumbe mazoezi yanasaidia bwana....ugonge arv na mazoezi ya ukweli mbona unaendelea kuzichakata mbususu kwa raha zakoAmekupa kazi ya kumeza mavidonge. Ila nadhani muda si mrefu mwisho wa vidonge utafika. By the way siku hizi wasio na HIV ndo wana hofu kuliko wenye nayo. Tukitembea na mwanamke tu mawazo kama tunakufa sa hiyo hiyo.
Kumeza njugu mawe sio mchezoMbona wanaomeza hawana shida?...wanaringa kweli kweli na wamenona hataree
We jamaa bhana kwahio ukakubali kabisa 😂😂😂Hili nintrue kabisa...ata mie aliyeniunganisha grid ya taifa nilimuamini sana acha tuu mwanamke mshenzi sana yule
Sasa unafanyaje maana ndio kashakuzidi akili.We jamaa bhana kwahio ukakubali kabisa 😂😂😂
Sasa utajuaje kuwa mkeo au demu wako ana "banyamulenge"Sio suala la zinaa tu, labda kuacha kabisa ngono sababu HIV mara nyingi anakupa yule unayemuamini. Ambaye humuamini si utajikinga. Yule uliyemzoea na kumuamini ndo anakutandika nao. Limekuwa suala la Ajali zaidi.
Ni kumeza njugu tuSasa unafanyaje maana ndio kashakuzidi akili.
Kabisa mkuu na kugegeda kwa raha maana huna hofu tena...nikupiga style zoteNi kumeza njugu tu
Ndio maana nikasema sio kwa ubaya [emoji1431] nashukuru lakiniWeka mikono yako kifuani sema Mungu nisamehe ,nimekosa mimi nimekosa sana kusema maneno haya,ofcoz mliozaliwa kuanzia mwaka 2000 mnadhani ukimwi haupo,ila upo kuwa makini