Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na msosi wa kutosha.Ah sasa sie tunadunda tuu mwananiwane na corona ilikuja ikadunda nikajua kumbe mazoezi yanasaidia bwana....ugonge arv na mazoezi ya ukweli mbona unaendelea kuzichakata mbususu kwa raha zako
Dawa za zamani ndio zilivyokuwaKuna muhindi mmoja pale mnazi mmoja alitumia ARV hadi ngozi ukibonyeza ikawa inachelewa kurudi nakumbuka ilikuwa 2007
Sio kwamba watu wanakulana b4 ndoa hivyo hakuna maana ya kupima tenaWanafungisha, wameshauzoea kama malaria.
Umeoa? Na unatumia kondom kwa hao unaowachakata?Sasa unafanyaje maana ndio kashakuzidi akili.
Dah aisee,wajomba zangu wamepigwa na huu moto....mdukuzii naelewa ni nini unazungumza , sisi wengine tumeshuhudia familia zetu zikiangamia from father , mother mpaka ndugu wa damu finally we remain loneliness kama hivi japo ngoma hatuna
Ila ni ugonjwa nauchukia na pia kila mwenye hilo gonjwa kwangu ni rafiki na ndugu sababu nahisi anapigana vita walivyopigana familia yangu
UKIMWI USIKIE NDUGU ILA UPO STAY SAFE , VIJANA TUJIRINDE SANA
Nioe ya nini wewe bwana? Condom natumia najikinga na nini wakati kama ngoma tayari ninayoUmeoa? Na unatumia kondom kwa hao unaowachakata?
Nilichohundua msosi sio ishu sana, ila inatakiwa uwe mutu ya mazoezi kweli kweli...Na msosi wa kutosha.
Sawa mkuuNioe ya nini wewe bwana? Condom natumia najikinga na nini wakati kama ngoma tayari ninayo
Mazoezi bila msosi moyo unaweza simama ghafla siku moja. Piga msosi mzabzab. Kuna mwamba alifia kwenye pushups kama utani.Nilichohundua msosi sio ishu sana, ila inatakiwa uwe mutu ya mazoezi kweli kweli...
Yaani wee unataka nibadilishe tried and tested formula yangu nifuate ya kwako.Mazoezi bila msosi moyo unaweza simama ghafla siku moja. Piga msosi mzabzab.
Ila mbususu bado wachakata au sio🤣🤣🤣🤣ukimwi wa 90s mpaka katikati ya miaka ya 2000 ulikuwa hatari sana.
mwaka 1997 niliondokewa na uncle wangu kwa gonjwa hili.
ilikuwa ni mara yangu kwanza kumuona live mgonjwa wa ukimwi akiwa ktk hatua za mwisho za kurudisha namba,sitokuja kusahau ile moment.
ile picha ya mwili wake ulivyokonda na kujaa vidonda hadi leo huwa inanijia kwenye kumbukumbu zangu.
hatari sana.
Siku hizi watu wanavimbana kwa mikuku ya kisasa na mayai yake. Unajua tuongee tu ukweli, kinga za mwili za binadamu wa kisasa zipo chini sana na hiv sio sababu pekee.Ila wanaotumia Arv kwa muda mrf wanajulikana tuu hata kwa kuangalia ngozi zao na chini ya mashavu huku kwny taya kama kumevimba vimba.
Pole sana ikiwa wanaishi karne hii si shida sana kama miaka ya nyuma kidogoDah aisee,wajomba zangu wamepigwa na huu moto....
Wajomba watatu aisee...