Kama una mpango wa kuja South, zingatia mambo haya sita kabla ya kuanza safari yako

Ulichoandika kina ukweli. Yani mtu kukuua sababu ya sh 50 yake ni kitu cha mawaida. Pia pale airport ndio balaa. Sio kila alie pale ni msafiri au dereva wa tax. Wengine ni majambazo ambao kazi yao ni kufuatilia watu wanaofika pale wawakabe mbele ya safari.

Kuhusu wazungu omba omba pia ni kweli. Kuna baadhi ya wazungu wameathirika pakubwa na madawa, kiasi ya kwamba hata kazi hawezi kufanya, yani muda wote anataka abembee tu, na kuomba omba hela mitaani. Lakini hili la wazungu wa aina hii hata huko Ulaya, Marekani, Canada nk wapo.
 
Kuna mkaburu mmoja namfahamu anapikaga ugali, wazungu wa SA ni ngozi nyeusi wale.
 
Hakuna tukio abalo haliyepukiki mbele ya serikali iliyomakini yenye intelejesia kali huo ni uzembe tu wa watawala waafrica?
 
Hyo imenipita mkuu hata sijui...
Huyo hapo pichani. Amezaliwa hapa, amekulia hapa na kila mtu alikuwa anajua kama ni raia wa hapa. Alianza kujiingiza katika mashindano ya urembo na kushinda mataji kadhaa huko nyuma.

Alipopanda mpaka kufika kwenye ngazi za juu na kushinda taji la Miss South Africa. Hapo ndo mziki ulipoanza wa kutaka kujua asili yake. Pilika pilika zikamfikia waziri wa mambo ya ndani. Akaingilia kati kujua kinachoendelea. Ghafla ikajulikana kuwa bint baba yake M'nigeria, na mama ni raia wa msumbiji aliefoji vyeti na kujifanya mzawa. Miss huyo baada ya kugundulika hivyo akavuliwa taji. Na yeye kwa hasira akaenda Nigeria kugombea u miss na akashinda.
 

Attachments

  • Screenshot_20240906-161603.jpg
    322.4 KB · Views: 11
Kuna mkaburu mmoja namfahamu anapikaga ugali, wazungu wa SA ni ngozi nyeusi wale.
Ni ngozi nyeupe sema wana spirit ya watu weusi. I mean ngozi ya kizungu kwa sababu ni weupe, akili ya kizungu kwa sababu wanaona mbali na wanaongoza kiuchumi na kielimu, ila mioyo ndio imekaa kiafrika afrika sababu wanazaliwa, wanakulia na kufia Afrika mababu na mababu.
 
Yap hiyo nchi ingetakiwa ipate rais kama yule jamaa wa philippine Rodrigo Duterte
Kabisa mkuu.
SA inapaswa kufanyia kazi hilo.
Wanaiharibu anchi na reputation yake ni mbovu sana.

Watengeneze kitengo maalumu cha ku deal na hao wahalifu.
Wamalizwe kabisa, hakuna cha mahakamani.
Ukkamatwa kwenye uhalifu hakuna kurudi uraiani ni kwenda mazima.
 
Jamaa aliua sana wahalifu nchini kwake hadi US wakaingilia kati na ishu zao za haki za binadamu
Hahaha nakumbuka. Ila haya mambo sijui ya haki za binadam na ujinga ujinga mungine sometimes huwa yanachangia nchi ina poromoka na kushindwa kudhibitika.

Maana ukisema udhibiti inaonekana unavunja haki za binadam. Na ukilegeza unawapa chance wahalifu wafanye yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…