Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu


Noma
 
Uzi safi kabisa , ni wakati wa vijana kutanua wigo wa kusaka fursa majuu.

Kwa maoni yangu vijana wajaribu sana US kwanza wakikosa basi Ujerumani .
 
Usjli kaka maisha hakuna kukata tamaa,Mimi pia bado sijafanikiwa ndo twahangaika.lkn nitakujuza chochote nitakachopata.lkn wakati twapambania ndoto zetu zitimie BC maisha mengine yaendelee
vipi ndugu, ulifanikiwa hatua yoyote pengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…