Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Wakuu Habari.
Nimebahatika kuishi na kufanya kaz Kanda ya ziwa kwa muda mrefu kidogo.
Ipo hivi, Kanda ya ziwa ni eneo lenye watu wakarimu sana.... tatizo ni moja, wengi sio waeelewa kwenye masuala anuai, hivo kuhatarisha maisha ya mtu ikiwa tu mtatafautiana mitazamo katika miamala(Transactions, not necessarily financials) na sio lazima fedha.
Kanda ya ziwa ni eneo pekee nchi hii unaweza kuuwawa kwa sabab ya wivu wa biashara, mapenzi, vyeo kazini, etc... namanisha kwa watu wa kipato ni rahis sana kupoteza uhai Kanda ya ziwa.
Kwa wanaopendq kufanya biashara, kazi za maana pamoja na kuish Kanda ya ziwa, tafadhal sana hakikikisha unanunua silaha, ni kwa usalama wako.
Wauaj weng Kanda ya ziwa wanatumia mapanga, na nondo. iwe ni ajal, mapenz, wizi, wivu nk.. wachache sana hutumia silaha za kisasa.
Nawasihi ndugu zangu, usalama wako ni kwa sabab yako mwenyewe, raia wana uelewa mdogo sana wa mambo kwa sasa, tafuta silaha weka kiunoni jilinde.
......
Mfano wa watu maaruf waliowahi uwawa Kanda ya ziwa
1. Mabina Mabina( Diwani mashuhuri na mwenyekit wa Halmashaur. )
2. Liberaus Barlow(RPC Mwanza)
3. Peter Malya(Mfanyabiashara)
4. Mawazo Alfonce(Mwanasiasa)
5. Super sammy(Mfanyabiashara)
achilia watu wa kawaida wengi ambao si maarufu.
Ni hayo tu.