Kama una pesa kuishi Kanda ya Ziwa bila silaha ni kujiweka wazi kabisa na kifo

Kama una pesa kuishi Kanda ya Ziwa bila silaha ni kujiweka wazi kabisa na kifo

Wakuu Habari.

Nimebahatika kuishi na kufanya kaz Kanda ya ziwa kwa muda mrefu kidogo.

Ipo hivi, Kanda ya ziwa ni eneo lenye watu wakarimu sana.... tatizo ni moja, wengi sio waeelewa kwenye masuala anuai, hivo kuhatarisha maisha ya mtu ikiwa tu mtatafautiana mitazamo katika miamala(Transactions, not necessarily financials) na sio lazima fedha.

Kanda ya ziwa ni eneo pekee nchi hii unaweza kuuwawa kwa sabab ya wivu wa biashara, mapenzi, vyeo kazini, etc... namanisha kwa watu wa kipato ni rahis sana kupoteza uhai Kanda ya ziwa.

Kwa wanaopendq kufanya biashara, kazi za maana pamoja na kuish Kanda ya ziwa, tafadhal sana hakikikisha unanunua silaha, ni kwa usalama wako.

Wauaj weng Kanda ya ziwa wanatumia mapanga, na nondo. iwe ni ajal, mapenz, wizi, wivu nk.. wachache sana hutumia silaha za kisasa.

Nawasihi ndugu zangu, usalama wako ni kwa sabab yako mwenyewe, raia wana uelewa mdogo sana wa mambo kwa sasa, tafuta silaha weka kiunoni jilinde.

......
Mfano wa watu maaruf waliowahi uwawa Kanda ya ziwa
1. Mabina Mabina( Diwani mashuhuri na mwenyekit wa Halmashaur. )
2. Liberaus Barlow(RPC Mwanza)
3. Peter Malya(Mfanyabiashara)
4. Mawazo Alfonce(Mwanasiasa)
5. Super sammy(Mfanyabiashara)

achilia watu wa kawaida wengi ambao si maarufu.

Ni hayo tu.

Watu wa karimu hawawezi kuwa Wauaji. Acha kuchanganya Mambo Mkuu.

Kanda ya ziwa ifanyiwe uchunguzi na Elimu itolewe wengi wanamatatizo ya Akili, uchawi na ushirikina na kujiona Duni.

Mtu anayejiona Duni ni rahisi kuua au kujiua.
 
Nasikia kanda ya ziwa unaweza ukauwawa kisa tu unamiliki iPhone X ni huzuni kwa kweli
 
Huu ni ukweli! Kanda ya ziwa kuna muda unajiuliza hawa ni watu au ni wanyama waliochangamka kidogo
 
Hii kanda inatisha ,kama waliwahi uwa RPC unafikiri mchezo ? ,Kuna majitu makatili sana huku ? Nakumbuka msako uliopigwa baada ya mauaji ya Barlow ,ilikuwa ni hatari
 
Ndio maana kuna jitu lilikuwa na roho mbaya na wivu akawa anafinya tu.
Yule mzilankende aka Dr jiwe ndio typical reflection ya watu WA hii kanda , roho mbaya za kikatili ,no sypmathy no empathy ,simply empty souls
 
Ndio kanda pekee ambayo imeshatoa tukio la kuua kiongozi wa vyombo vya usalama
 
Kanda ya ziwa ni eneo la ovyo Sana
Ujinga
Uchawi
Kuzaana hovyo
Ujambazi wa kijinga
Mauaji ya walemavu wa ngozi
Ukabila
Uharibufu wa mazingira
Kuuwa vikongwe
Ushamba
hii ni kweli nipo hapa kahama kila unapopita wanaongea kisukuma tu hata mimi mgeni nikiwa mtaani wananisalimia kilugha dah

can u imagine municipal yaani kila sehemu kisukuma tupu ( nipo mitaa wanaita mhongolo)
 
Kuna watu wanazitaja Moshi na Arusha. Kaskazini kama huna hela huna haja ya kuhofia usalama wako, wewe kama unajua ni pangu pakavu huna hadhi ya kuuwawa utakufa kwa minyoo.

Sasa zaliwa kanda ya ziwa ukiwa albino, jichanganye uwe kikongwe, jichanganye macho yawe mekundu uone. Bado mtaani mtu yeyote anaweza jisikia akakupiga panga kwa kosa dogo tu. Humu JF kumejazana nyuzi za "auwawa" nyingi sana kutoka kanda ya ziwa hasa Geita. Ukiondoa mkoa wa Kagera, mikoa mingine ya kanda hiyo ina kesi nyingi za mauaji.

Nje ya hiyo kanda kuna Njombe hao nao wameshindikana kuuana na wanaongeza la kujiua
 
Unataka tuishije na nyie Warisha
Uje Kwetu na vihela vyako na nyoko nyoko utakula panga Msaghane omwene .

Dharau mwisho Singida.... Tabora, Mwanza, Simiyu, Mara (Nchini Mara), Geita... Lete Dharau zako utauawa kikatili sana.
Ndo hivo. Fanya kazi yako wahi Nyumbani .
Heshimu wenyeji.
 
Kanda ya ziwa ni eneo la ovyo Sana
Ujinga
Uchawi
Kuzaana hovyo
Ujambazi wa kijinga
Mauaji ya walemavu wa ngozi
Ukabila
Uharibufu wa mazingira
Kuuwa vikongwe
Ushamba
Umetutukana hii ndo Dharau yenyewe
 
Popote ulipo usalama wako uwe kipaombele cha kwanza,hata kama unaishi kanda ya kati,kusini au zanzibar,
 
Wakuu Habari.

Nimebahatika kuishi na kufanya kaz Kanda ya ziwa kwa muda mrefu kidogo.

Ipo hivi, Kanda ya ziwa ni eneo lenye watu wakarimu sana.... tatizo ni moja, wengi sio waeelewa kwenye masuala anuai, hivo kuhatarisha maisha ya mtu ikiwa tu mtatafautiana mitazamo katika miamala(Transactions, not necessarily financials) na sio lazima fedha.

Kanda ya ziwa ni eneo pekee nchi hii unaweza kuuwawa kwa sabab ya wivu wa biashara, mapenzi, vyeo kazini, etc... namanisha kwa watu wa kipato ni rahis sana kupoteza uhai Kanda ya ziwa.

Kwa wanaopendq kufanya biashara, kazi za maana pamoja na kuish Kanda ya ziwa, tafadhal sana hakikikisha unanunua silaha, ni kwa usalama wako.

Wauaj weng Kanda ya ziwa wanatumia mapanga, na nondo. iwe ni ajal, mapenz, wizi, wivu nk.. wachache sana hutumia silaha za kisasa.

Nawasihi ndugu zangu, usalama wako ni kwa sabab yako mwenyewe, raia wana uelewa mdogo sana wa mambo kwa sasa, tafuta silaha weka kiunoni jilinde.

......
Mfano wa watu maaruf waliowahi uwawa Kanda ya ziwa
1. Mabina Mabina( Diwani mashuhuri na mwenyekit wa Halmashaur. )
2. Liberaus Barlow(RPC Mwanza)
3. Peter Malya(Mfanyabiashara)
4. Mawazo Alfonce(Mwanasiasa)
5. Super sammy(Mfanyabiashara)

achilia watu wa kawaida wengi ambao si maarufu.

Ni hayo tu.
Asante kwa taarifa
 
Kanda ya zkiwa ipi uliwahi kuishi ww,mbona kama unachuki binafsi na jamii uloishi nayo kwa mda mrefu,specify according to your research ulishuhudia nani kafariki au we ulikutwa na mkaa upi Mars ngapi,njoo na uzi imekamilika usiwe kama yule mdaku alofanya research ya ushoga bila kuwahi wanafikia na watekelezaji wa mradi na kuzua taharuki
Umetajiwa hadi ya majina ya Marehemu lakini hutaki !
 
Usiombe umtongoze Mwanamke Mweupe anayeishi kanda ya ziwa

Utauawa mara moja usiku wa siku uliyomtongoza
 
Kwanza kuna huku Kaskazini.
Pesa kidogo mtu anamiliki silaha, mpaka unabaki kushangaa.
Nawaogopa mie… nawazaga anaweza kukubadilikia muda wowote, akufanyishe usiyoyatarajia 🥹�
Ni ngumu kubadilikia maana anakua ashaizoea!
Miaka flan nkiwa mdogo nlipewa lifti na mzee Moja hv kufika sehemu pana korongo mzee piki piki ikamshinda tukaanguka nkaona mzee ana mguu wa kuku 🙆 ilikua mara ya kwanza kuona 🔫🔫
 
Back
Top Bottom