Shazili mnali
JF-Expert Member
- Mar 25, 2023
- 362
- 569
Vp mbeya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulivyoelezea haap mkuu,nikweli kabisa ,mm natokea kandaya ziwa nimekulia huko pia,ila kwasasa naishi mikoa ya kusini ,kanda yaziwa tuna matukioa ya kikakitili mengi sana hadi hua naogopa tofauti kabisa na huku nnakoishi ,nadhani jamii za kiiisilamu hazitilii nguvu kutafuta mali ndio maana matukio ya ujambazi,naukatili wa watu kama albino uko chini ,ila maeneo yakanda ya ziwa ,wanatafuta mali kwa nguvu zote hata kwanjia zisizo halali ndio maana matukio mazito mazito ya ukatili na unyanyasaji hutokeahuko.mfano kwetu nimewahi kushuhudia mwanamke amepotea kupatikana amefariki kanyofolewa viungo vya siri,lkn sijawahi kusikia tukio la namna hyo huku kusini.bora uswahili wa watu wakusini kuliko ukatili wa kanda ya ziwa.Wakuu Habari.
Nimebahatika kuishi na kufanya kaz Kanda ya ziwa kwa muda mrefu kidogo.
Ipo hivi, Kanda ya ziwa ni eneo lenye watu wakarimu sana.... tatizo ni moja, wengi sio waeelewa kwenye masuala anuai, hivo kuhatarisha maisha ya mtu ikiwa tu mtatafautiana mitazamo katika miamala(Transactions, not necessarily financials) na sio lazima fedha.
Kanda ya ziwa ni eneo pekee nchi hii unaweza kuuwawa kwa sabab ya wivu wa biashara, mapenzi, vyeo kazini, etc... namanisha kwa watu wa kipato ni rahis sana kupoteza uhai Kanda ya ziwa.
Kwa wanaopendq kufanya biashara, kazi za maana pamoja na kuish Kanda ya ziwa, tafadhal sana hakikikisha unanunua silaha, ni kwa usalama wako.
Wauaj weng Kanda ya ziwa wanatumia mapanga, na nondo. iwe ni ajal, mapenz, wizi, wivu nk.. wachache sana hutumia silaha za kisasa.
Nawasihi ndugu zangu, usalama wako ni kwa sabab yako mwenyewe, raia wana uelewa mdogo sana wa mambo kwa sasa, tafuta silaha weka kiunoni jilinde.
......
Mfano wa watu maaruf waliowahi uwawa Kanda ya ziwa
1. Mabina Mabina( Diwani mashuhuri na mwenyekit wa Halmashaur. )
2. Liberaus Barlow(RPC Mwanza)
3. Peter Malya(Mfanyabiashara)
4. Mawazo Alfonce(Mwanasiasa)
5. Super sammy(Mfanyabiashara)
achilia watu wa kawaida wengi ambao si maarufu.
Ni hayo tu.
Acha kutuchanganya mara wakarimu sana, mara wana wivu na roho mbaya. which is which? Mi nachojua ni wabaguzi sana hasa wanyantuzu. Nenda kaishi Bariadi ukitaka kuona dunia ni chungu. Ufungue biashara? Guest house zote za kwao, maduka karibu biashara zote mi sijaona mgeni. Nchi hii ubaguzi bado upo mikoa mingine. Ila mikoa watu hawana muda na wewe tena watampenda mgeni kuliko mwenyeji siyo kanda ya ziwaWakuu Habari.
Nimebahatika kuishi na kufanya kaz Kanda ya ziwa kwa muda mrefu kidogo.
Ipo hivi, Kanda ya ziwa ni eneo lenye watu wakarimu sana.... tatizo ni moja, wengi sio waeelewa kwenye masuala anuai, hivo kuhatarisha maisha ya mtu ikiwa tu mtatafautiana mitazamo katika miamala(Transactions, not necessarily financials) na sio lazima fedha.
Kanda ya ziwa ni eneo pekee nchi hii unaweza kuuwawa kwa sabab ya wivu wa biashara, mapenzi, vyeo kazini, etc... namanisha kwa watu wa kipato ni rahis sana kupoteza uhai Kanda ya ziwa.
Kwa wanaopendq kufanya biashara, kazi za maana pamoja na kuish Kanda ya ziwa, tafadhal sana hakikikisha unanunua silaha, ni kwa usalama wako.
Wauaj weng Kanda ya ziwa wanatumia mapanga, na nondo. iwe ni ajal, mapenz, wizi, wivu nk.. wachache sana hutumia silaha za kisasa.
Nawasihi ndugu zangu, usalama wako ni kwa sabab yako mwenyewe, raia wana uelewa mdogo sana wa mambo kwa sasa, tafuta silaha weka kiunoni jilinde.
......
Mfano wa watu maaruf waliowahi uwawa Kanda ya ziwa
1. Mabina Mabina( Diwani mashuhuri na mwenyekit wa Halmashaur. )
2. Liberaus Barlow(RPC Mwanza)
3. Peter Malya(Mfanyabiashara)
4. Mawazo Alfonce(Mwanasiasa)
5. Super sammy(Mfanyabiashara)
achilia watu wa kawaida wengi ambao si maarufu.
Ni hayo tu.
Arusha ipi? Au Arusha sehemu gani, wilaya ipi. We hauko serious, km eneo la watu hulijui vizuri acha uzushi wa kipuuzi. Hakuna eneo au mkoa nchi hii iliyostaarabika km Arusha hakuna mtu ana muda na wewe, Arusha hata kabila lako huwezi ulizwa. Arusha ni kitu kingine ni mji wa kimataifa watu wamewazoea wazungu km wabantu wenzao maana wazungu ni wengi hasa Arusha mjini na viunga vya mji. Usiongelee vitu usivyovijua. Jaribu kutembelea eneo kabla hujaandika uongo km huu.Kuna sehemu kuna ujambazi na watu roho mbaya kama Kaskazini? (Moshi & Arusha)
Wewe unachuki zako na wivu hata hiyo Arusha hata hujafika. Arusha ni mji wa kistaarabu sana, niambie tukio la ujambazi kwa maana ya tarehe na mwaka na wapi. Ukisikia Arusha unabanwa na mavi tu kwasababu ni jiji la kimataifa na uliostaarabika. Arusha hakuna mtu ana muda na mwingine, huwezi hata kujua nani ni kabila gani. Uwe na adabu hicho chuki na wivu mpelekee ndugu yako.Kuna sehemu kuna ujambazi na watu roho mbaya kama Kaskazini? (Moshi & Arusha)
Uko sawa 100% especially GeitaWakuu Habari.
Nimebahatika kuishi na kufanya kaz Kanda ya ziwa kwa muda mrefu kidogo.
Ipo hivi, Kanda ya ziwa ni eneo lenye watu wakarimu sana.... tatizo ni moja, wengi sio waeelewa kwenye masuala anuai, hivo kuhatarisha maisha ya mtu ikiwa tu mtatafautiana mitazamo katika miamala(Transactions, not necessarily financials) na sio lazima fedha.
Kanda ya ziwa ni eneo pekee nchi hii unaweza kuuwawa kwa sabab ya wivu wa biashara, mapenzi, vyeo kazini, etc... namanisha kwa watu wa kipato ni rahis sana kupoteza uhai Kanda ya ziwa.
Kwa wanaopendq kufanya biashara, kazi za maana pamoja na kuish Kanda ya ziwa, tafadhal sana hakikikisha unanunua silaha, ni kwa usalama wako.
Wauaj weng Kanda ya ziwa wanatumia mapanga, na nondo. iwe ni ajal, mapenz, wizi, wivu nk.. wachache sana hutumia silaha za kisasa.
Nawasihi ndugu zangu, usalama wako ni kwa sabab yako mwenyewe, raia wana uelewa mdogo sana wa mambo kwa sasa, tafuta silaha weka kiunoni jilinde.
......
Mfano wa watu maaruf waliowahi uwawa Kanda ya ziwa
1. Mabina Mabina( Diwani mashuhuri na mwenyekit wa Halmashaur. )
2. Liberaus Barlow(RPC Mwanza)
3. Peter Malya(Mfanyabiashara)
4. Mawazo Alfonce(Mwanasiasa)
5. Super sammy(Mfanyabiashara)
achilia watu wa kawaida wengi ambao si maarufu.
Ni hayo tu.
Huwezi kufananishwa Nyanda za juu kusini na Kanda ya Ziwa likija Swala la ukatili.Vp mbeya?
Kabisa nimeishi kule,yaani majambazi yapo tayari kukuua mtu kwa ajili ya baiskeli. Vitu vya hovyo kabisa!Hata Tabora ni hatari
Kuna mwamba alikua akiua kwa 20 tu,polisi wamemuhifadhi jela bila kesi,maana kesi za mauaji ngumu kumkuta mtu na hatia,yupo jela tu kule igunga, usukumani kukuua simple tuKwa hiyo huko kuuana na mambo ya kawaida tu
Ova
Umeshasema ni kanda ya watu wastaarabu sana,,Wakuu Habari.
Nimebahatika kuishi na kufanya kaz Kanda ya ziwa kwa muda mrefu kidogo.
Ipo hivi, Kanda ya ziwa ni eneo lenye watu wakarimu sana.... tatizo ni moja, wengi sio waeelewa kwenye masuala anuai, hivo kuhatarisha maisha ya mtu ikiwa tu mtatafautiana mitazamo katika miamala(Transactions, not necessarily financials) na sio lazima fedha.
Kanda ya ziwa ni eneo pekee nchi hii unaweza kuuwawa kwa sabab ya wivu wa biashara, mapenzi, vyeo kazini, etc... namanisha kwa watu wa kipato ni rahis sana kupoteza uhai Kanda ya ziwa.
Kwa wanaopendq kufanya biashara, kazi za maana pamoja na kuish Kanda ya ziwa, tafadhal sana hakikikisha unanunua silaha, ni kwa usalama wako.
Wauaj weng Kanda ya ziwa wanatumia mapanga, na nondo. iwe ni ajal, mapenz, wizi, wivu nk.. wachache sana hutumia silaha za kisasa.
Nawasihi ndugu zangu, usalama wako ni kwa sabab yako mwenyewe, raia wana uelewa mdogo sana wa mambo kwa sasa, tafuta silaha weka kiunoni jilinde.
......
Mfano wa watu maaruf waliowahi uwawa Kanda ya ziwa
1. Mabina Mabina( Diwani mashuhuri na mwenyekit wa Halmashaur. )
2. Liberaus Barlow(RPC Mwanza)
3. Peter Malya(Mfanyabiashara)
4. Mawazo Alfonce(Mwanasiasa)
5. Super sammy(Mfanyabiashara)
achilia watu wa kawaida wengi ambao si maarufu.
Ni hayo tu.
Kabisa nimeishi kule,yaani majambazi yapo tayari kukuua mtu kwa ajili ya baiskeli. Vitu vya hovyo kabisa!
Acha kuongea uongo we panzi,Huyu no 1.Mabina alikua jambazi,kaua watu wengi sana ziwani victoria,alikua anateka mitumbwi inayotoka kisumu na mali anaua watu wailiomo kwenye mtumbwi anachukua mali zote,na siku ya kifo chake aliua mtoto,hivyo malipo ya kila kitu ni hapa hapa dunia
Sent using Jamii Forums mobile app