Kama una pesa kuishi Kanda ya Ziwa bila silaha ni kujiweka wazi kabisa na kifo

Mkuu silaha ni muhim sana.. mfano Kanda ya ziwa kibaka anaweza kupiga panga alaf akakuibia Sim na pesa za kwenye wallet.
Pengine Huijui nchi
hakuna cha Kanda ya Wapi wala Wapi
matukio kama hayo Yapo nchi nzima
Iwe Arusha mpaka Mbeya
Songwe huko ndio Kwenyewe
 
Mawazo aliuliwa na Maghu na taasisi yake ya intelijensia,na ccm militiq group
 
Kwanza kuna huku Kaskazini.
Pesa kidogo mtu anamiliki silaha, mpaka unabaki kushangaa.
Nawaogopa mie… nawazaga anaweza kukubadilikia muda wowote, akufanyishe usiyoyatarajia 🥹🥹
Acha kushobokea pesa zao watakufanya kweli usiyotarajia we jichanganye uone
 
Tutaja na kuoa wako tulinganishe
 
NimedisLIKE kwa sababu ulichoandika na majina ya watu uliotaja ni UONGO yaani hamna uhusiano kabisa na uj8nga ulioandika.

Mtu kama marehemu Mawazo, Super Sami nk, yaani ni uelewi hata vifo vyao ipa umetaka kuwachafua watu, either kuna jambo ulifanya au umekosa kitu so umekimbia na hii mada!.
 
Hii ni kweli. Kule kuna wivu wa maendeleo. Ujambazi unafuatwa ndani ukiwaambia kwamba mnataka nn, wanakwambia hatutaki hata sh 10, tunataka roho yako tu.

Kuna uchawi. Mtu anawekwa kwenye chungu angali mdogo, chungu kinaenda kufukiwa milimani huko. Kmmk, hata ufanyeje hutoboi. Kama ni shule utaacha, wakikukosakosa ukafanikiwa kumaliza kazi hutopata, ukiwatotoka ukapata hiyo kazi hela hutofanyia chochote mpaka unakufa.

Nina hasira sana.
 
Si kweli. Mbona diallo hajauliwa,kishimba anadunda,musukuma yupo fresh etc

Ishu ya mabina fatilia mkuu unajiaibisha
 
Nimezunguka naa kukaa mikoa mingi Tanzania. Nimekaa Mwanza pia nimetembelea wilaya zote za Kagera, Mara, Geita na Mwanza yenyewe.

Nnachoweza kukuhakikishia mtoa mada, Njombe ndio mkoa ambao maisha ya mwanadamu hayana thamani yoyote. Mauaji ni mengj Mkoa wa Njombe kuliko mkoa wowote ule.
 
Huyu no 1.Mabina alikua jambazi,kaua watu wengi sana ziwani victoria,alikua anateka mitumbwi inayotoka kisumu na mali anaua watu wailiomo kwenye mtumbwi anachukua mali zote,na siku ya kifo chake aliua mtoto,hivyo malipo ya kila kitu ni hapa hapa dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi hiyo?
Je yalikutokea na ni mkoa gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…