Kama una pesa kuishi Kanda ya Ziwa bila silaha ni kujiweka wazi kabisa na kifo

Unaongea kama kwamba binadamu ana thamani sawa na mnyama
 
Huwa mnaandika ujinga as if kand ya ziwa pekee ndipo watu wanauana.
 
Ni kheri uishi kanda ya kaskazini kuliko kanda ya ziwa huku kuua kwao ni kama kucheza mbina tu
By the way naishi Mwanza, na hapa ninafanya kazi Arusha.... So hakuna kitu utanidanganya, ukitaka tubadilishane mawazo now njoo hapa Arusha night park tule mtula
 
By the way naishi Mwanza, na hapa ninafanya kazi Arusha.... So hakuna kitu utanidanganya, ukitaka tubadilishane mawazo now njoo hapa Arusha night park tule mtula
Hongera kwa kuishi Mwanza na kufanya kazi Arusha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hongera kwa kuishi Mwanza na kufanya kazi Arusha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Watu kama wewe wapo wengi sana,mnajitokezaga mahala kama hapa jf kudanganya watu,na mnajisahau kua humu kuna watu wa kila namna ktk utafutaji wa maisha kwa maana ya kua wanajua kanda zote na mikoa,pia viunga vyake....yani kama wewe unavyojua room unayolala na ya watoto wako na room ya wageni,ndani ya nyumba yako,ndivyo sisi wengine tunavyoijua Tanzania
 
Silaha ni Silaha.

Mie nashauri Silaha za Jadi zirudishwe kisheria. Huu ukoloni mamboleo hapana-kuondoa silaha za kijadi na kuleta ""silaha za kigeni.
 
Wewe ni mpuuzi tu kuliko wapuuzi waliokutangilia,
 
Mkuu nimeish Kanda ya ziwa maeneo yote, HQ nilikuwa mwanza.. mfano wa watu maarufu wamewah uwawa Lake
1.Peter Malya
2. Super Sammy
3. Mawazo Alfonce
4. Mabina Mabina
5 . Liberatus Barlow

Nk nk
Ukitoa rebaratus barow, wengine woote ni majambazi.
 
Kifupi sio wema wala wastaharabu.
maana Ustaharabu ni pamoja na uwezo wa kustahimili na uvumilivu.
Huku matukio ya mauaji ni mengi mpaka unahisi ndio mwenendo wa jamii
Huko ninadhani waje JWTZ wawapandikize ustaarabu kwa miezi 6 hiv inatosha!!
 
Hata Tabora ni hatari
Tena Tabora ndiyo wapuuzi mno.....yaani mtu ukiiba kibiriti tu au ukikutwa unakula vizuri unatupiwa jini ili uwe kichaa na ndiyo maana ule mkoa una vichaa balaa. Mfano ulio hai, muangalieni kijana wao Oscar Oscar.....wakati mwingine akiongea utafikiri kichaa fulani hivi kumbe ana akili timamu. Tabora shikamooni.
 
Mkuu silaha ni muhim sana.. mfano Kanda ya ziwa kibaka anaweza kupiga panga alaf akakuibia Sim na pesa za kwenye wallet.
Dar vipi? Uko bias, fatilia kesi za wapora pikipiki na bajaji wanatumia silaha gani?

Nikiwepo mimi binafsi nimewahi kupigwa panga nikaibiwa simu Dar, na nawajua wengine wengi.

Cha msingi ni kuwa masuala ya usalama yafanyiwe kazi zaidi.
 
Kwa hiyo huko kuuana na mambo ya kawaida tu

Ova
Mrangi bana, haya Dar tembelea hospitali uulizie kesi za watu kukatwa mapanga kwa ajili ya simu na pesa chini ya milioni 5.

Arusha, hata siongei kuhusu masuala ya hela na risasi.

Tatizo la mwandishi au washkaji wengi wa hivi u akuta alitoka katika busy town/city akawa hapati info za hatari kwa wakati.

Sasa akienda sehemu ambayo info kama hizo zinasambaa fasta na mji au jiji hauna mambo ya kum keep busy kama alipotokea lazima atapagawa.
 
Kanda ya ziwa ina Watu washamba sana

Wanaweza kuua Mtu kwasababu ya 50K au kwa wivu wa mapenzi
Kwenu wapi huko ndugu ambako watu hawauani ndani ya Tanzania hii kwa WIVU wa mapenzi??? 🙄
 
Ka
Kawaida sana, kule watu wamejichokea, Yani muuaji anapewa laki 5 na ramani Tu, Akija anacharanga mapanga hadi paka atayemkuta....hapo ukute kaugomvi kenyewe ni mpaka wa shamba, au au mtu umemuonjea kamke au kamume kake.....
🤣🤣🤣

Kuna police aliwahi niambia kuwa matukio kama hayo yapo Sana Kagera

Tena ana kwambia mtu akitaka kufanya tukio la uhalifu anapiga simu police anakwenda kutoa rushwa mapema ana waambia Kesho Nina kwenda kufanya tukio Kwa Fulani Msije .. Nika muuliza sasa kwanini msimkamate Akanijibu ukithubutu kujifanya snitch weee Raia Wana kuua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…