Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kuna watu walikua wanagonga mlango wa chumba changu nikauliza nani? Wakajibu sisi Askari, nikauliza mnataka nini? Wakajibu fungua tunataka kuongea na wewe, nikauliza mpo wangapi? Wakasema tupo wa3, nikawaambia ongeeni wenyewe. Sipendagi ujinga [emoji3] [emoji3].
 
Jana nimeenda kuazima pasi chumba jirani, ili ninyooshe nguo zangu, Jamaa wakaniambia nichukue nguo nikanyooshe room kwao maana hawataki pasi yao itoke.
Sasa leo amekuja mmoja wao kuazima mopper akasafishe room, nimemwambia aje adekie humu humu...

Jamaa ameondoka nadhani atakua ameenda kuchukua maji
[emoji4]
 
Today l went to a restaurant, l saw there was a wifi service, so l asked for password, the waitress told me eat first ,so l place my order,After eating l asked again for password and again she told me eat first,feeling frustrated again l order black coffee,after drinking ,again l asked for password,They told me eat first..Then angry l asked the restaurant manager for the password..He replied eat first, before l was about to explode, l finally saw a sign showing wifi password...EAT FIRST

[emoji125]‍♀[emoji125]‍♀[emoji125]‍♀naondoka kabla sijaambiwa nitafsiri
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
*MITOMINGI*; nadhani sasa mgeni amekwisha kumaliza kula hebu nenda kaondoe vyombo

*MAMA_MAZOEA*; Basi fanya haraka (Mazoea anatoka, anaenda kwa Ngoswe alipo).

*MAZOEA*; Hodi! Hodi!

*NGOSWE*; Karibu

*MAZOEA*; (Akiingia). Ahsante. Nimekuja kuchukua vyombo.

*NGOSWE*; Vyombo! Kaa basi mbona unasimama kama vile hakuna viti.

*MAZOEA*; Nimeambiwa nifanye haraka.

*NGOSWE*; Mmm! Haya ngoja ninawe basi (Ngoswe ananawa kwa taratibu jicho likiwa usoni mwa Mazoea ambaye anatazama kando). Hivo mzima wee?

*MAZOEA*; Bee?

*NGOSWE*; Salama?

*MAZOEA*; Salama tu.

*NGOSWE*; Sasa ndio umekataa kukaa?

*MAZOEA*; (Ajidai hakusikia) Si umekwisha maliza?

*NGOSWE*; Bado kidogo.

*MAZOEA*; Basi nitakuja chukua baadaye. (Ataka kutoka)

*NGOSWE*; Basi nenda navyo. (Mazoea anarudi kuinama kuvichukua. (Ngoswe kwa sauti ndogo). Hivyo waitwa nani?

*MAZOEA*; Mie?

*NGOSWE*; Ndio wewe hapo kisura.

*MAZOEA*; (anatabasamu huku akiondoka). Mazoea!i

Story ni tamu ila tulishaambiwa ya Ngoswe tumuachie Ngoswe! ! !

[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
[emoji38] [emoji38]
 
DEMU ANATAKIWA KUWA MSHAMBA KIDOGO..

_Sio mtu anamjua mpaka Cheki Noris,Anord Shozniga,Michael Dadkof....Huna hata cha kumdanganya?...._

_Inatakiwa ukimuuliza "Baby unamjua HAZARD?" Anakujibu "Ni Yule Rafiki Yako Wa Kijijini?"_

Baby hivi POGBA unamjua?" Anakujibu "Si Ndo Yule Mtoto Wa Mama James?".

Sio Mtu Anajua Natimu Ya Mpira Bongo Mpaka Ulaya,Anaijua Hadi Kasimpasa Ya Uturuki..

Mtu Ukiangalia Nae The Walking Dead au Wrong turn Hata Hashtuki,Amekodoa Mi Macho Tu Mwanzo Mwisho.

Inatakiwa akiangalia Muvi za kutisha anakukumbatia Kumbatia "Baby Toa Bhana Mi Ntaota".....au "au Maskin si Atamuua Sasa"_

Sio Mtu Anaangalia Picha la Mavampire Anashabikia "Bora Life,Linakiherehere Sana!

Mi Napenda Mtu Nikimwambia "Leo Chelsea Anacheza na Man U"....yeye aniambie "Kumbe Kombe La Dunia Limeanza?".........._

_Sio Demu Anakutajia Mpaka First Eleven Ya BURNLEY...
DEMU GANI HUYOO!!!??

Time staki ujinga
...................[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…