Muone vile, ukalale huko.Siku fulani hivi, Mwanandoa mmoja mpya aitwaye Paulo (sio jina lake halisi), alikuwa akirudi nyumbani toka kazini mida kama ya saa mbili usiku huku mkewe akimsubiri. . Wakati akiwa njiani, Paulo alimuona msichana mmoja mrembo akiwa amesimama peke yake barabarani akisubiri daladala. . Mr. Paulo, licha ya kuvutiwa na urembo wa yule msichana, pia, huruma ilimwingia na kuamua kusimamisha gari ili amsalimie na ampe hisani ya lift. . Lakini yule msichana hakuonesha ushirikiano wowote, Paulo aliendelea kumbembeleza japo kupokea salamu tu lakini dada aliweka ngumu na kuanza kuondoka eneo lile. Paulo akaanza kumfuata kwa nyuma. Hii ni kwa kuwa alikuwa akimuonea huruma asije shambuliwa na wahuni na pia, kwa ajili ya kutuliza tamaa yake ambayo ilishamwingia. Ghafla yule binti akasimama na kumgeukia Paulo. Kisha akamwambia. "Boss najua unanifuatilia na najua ni nini unachotaka kutoka kwangu." . Paulo akatabasamu na kisha akachukua simu yake na kuizima, maana, mkewe alikuwa akimpigia mara kwa mara kiasi cha kumsumbua. . Yule msichana akamwambia, najua unanitaka kimapenzi. Basi, nitakubali nikalale na wewe endapo utakuwa mwema kwangu pamoja na kunijali. Paulo akamuahidi kuwa, kwa hilo tu wala asijali maana yeye ndiye Sultan Suleman Khan wa himaya ya Ottoman! Akajitapa kuwa anajua kupenda na atamthibitishia hilo. . Akamchukua, wakapanda kwenye gari na kumpeleka kwenye hoteli nzuri iliyokuwa karibu na eneo lile. . Wakiwa ndani ya chumba cha hotel, Paulo akavua nguo zake zote. Kisha, akaanza kumvua na yule binti. . Wakati akiendelea kumvua, mara akaona kitu cha ajabu kwa yule dada. Ambapo, hakukitegemea kabisa kukiona maishani mwake. Kitu ambacho kilimfanya ajutie tabia yake ya uzinzi..... . Bado unasoma stori hii? . Lengo langu ni wale wasiopenda kusoma post ndefu wapate tabu, sasa sijui namna gani niimalize hii stori yangu ya uongo...[emoji23][emoji23] . Hata hivyo, unaweza kunisaidia kuumalizia uongo huu....... [emoji125] [emoji125] .
Muone vile, ukalale huko.
Au Paulo ndiye Yule aliyemkuta mdada mwenye nanihii [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mara ghafla baba yako mzazi aliye kijijini anakupigia simu "hivi mdogo wako Mariam anaendeleaje? " unamjibu yuko vizuri tu Anaendelea vyema na Chuo..... (Baba anaamua kukupa angalizo) mwangalie sana mdogo wako asije akafanya mambo ya Amber Rutty.. [emoji23][emoji23][emoji23] Unagundua baba ameangalia...
Siku fulani hivi, Mwanandoa mmoja mpya aitwaye Paulo (sio jina lake halisi), alikuwa akirudi nyumbani toka kazini mida kama ya saa mbili usiku huku mkewe akimsubiri. . Wakati akiwa njiani, Paulo alimuona msichana mmoja mrembo akiwa amesimama peke yake barabarani akisubiri daladala. . Mr. Paulo, licha ya kuvutiwa na urembo wa yule msichana, pia, huruma ilimwingia na kuamua kusimamisha gari ili amsalimie na ampe hisani ya lift. . Lakini yule msichana hakuonesha ushirikiano wowote, Paulo aliendelea kumbembeleza japo kupokea salamu tu lakini dada aliweka ngumu na kuanza kuondoka eneo lile. Paulo akaanza kumfuata kwa nyuma. Hii ni kwa kuwa alikuwa akimuonea huruma asije shambuliwa na wahuni na pia, kwa ajili ya kutuliza tamaa yake ambayo ilishamwingia. Ghafla yule binti akasimama na kumgeukia Paulo. Kisha akamwambia. "Boss najua unanifuatilia na najua ni nini unachotaka kutoka kwangu." . Paulo akatabasamu na kisha akachukua simu yake na kuizima, maana, mkewe alikuwa akimpigia mara kwa mara kiasi cha kumsumbua. . Yule msichana akamwambia, najua unanitaka kimapenzi. Basi, nitakubali nikalale na wewe endapo utakuwa mwema kwangu pamoja na kunijali. Paulo akamuahidi kuwa, kwa hilo tu wala asijali maana yeye ndiye Sultan Suleman Khan wa himaya ya Ottoman! Akajitapa kuwa anajua kupenda na atamthibitishia hilo. . Akamchukua, wakapanda kwenye gari na kumpeleka kwenye hoteli nzuri iliyokuwa karibu na eneo lile. . Wakiwa ndani ya chumba cha hotel, Paulo akavua nguo zake zote. Kisha, akaanza kumvua na yule binti. . Wakati akiendelea kumvua, mara akaona kitu cha ajabu kwa yule dada. Ambapo, hakukitegemea kabisa kukiona maishani mwake. Kitu ambacho kilimfanya ajutie tabia yake ya uzinzi..... . Bado unasoma stori hii? . Lengo langu ni wale wasiopenda kusoma post ndefu wapate tabu, sasa sijui namna gani niimalize hii stori yangu ya uongo...[emoji23][emoji23] . Hata hivyo, unaweza kunisaidia kuumalizia uongo huu....... [emoji125] [emoji125] .
You broke up with a guy in ur street then date another one in ur street and u say you have moved on? My sister, u are just moving around ??
A couple had a fight one night. Going to bed Husband says:
Good night mother of my 3 kids. Wife Replied: Good night father of none.
Beyonce anamiliki mabilioni ya pesa,anatuzo 22 za grammy award ana magari makali na ni maarufu duniani kote...ila akisalitiwa kimapenzi na bwana wake Jay z anaombwa msamaha yanaisha...wewe Faustina mwakipesile unayemiliki tekno y3,earphone na chupi kubwa tatu na umaarufu wako unaishia mtaani kwenu hapo Manzese,ukisalitiwa ukaombwa msamaha unakataa eti "golden chance never come twice" hivi unajua maana ya gold?
Aah kwenda hukoBeyonce anamiliki mabilioni ya pesa,anatuzo 22 za grammy award ana magari makali na ni maarufu duniani kote...ila akisalitiwa kimapenzi na bwana wake Jay z anaombwa msamaha yanaisha...wewe Faustina mwakipesile unayemiliki tekno y3,earphone na chupi kubwa tatu na umaarufu wako unaishia mtaani kwenu hapo Manzese,ukisalitiwa ukaombwa msamaha unakataa eti "golden chance never come twice" hivi unajua maana ya gold?
Hahaaaa jamaniii huku stress freeeMouthology
A Professor was traveling by boat. On his way he asked the sailor:
“Do you know Biology, Ecology, Zoology, Geography, physiology?
The sailor said no to all his questions.
Professor: What the hell do you know on earth. You will die of illiteracy.
After a while the boat started sinking. The Sailor asked the Professor, do you know swiminology & escapology from sharkology?
The professor said no.
Sailor: “Well, sharkology & crocodilogy will eat your assology, headology & you will dieology because of your mouthology.
Mtoto alimuuliza babake:
MTOTO: Baba, eti sisi wanadamu tulikuja vipi duniani?
BABA: Mungu alimuumba Nabii Adam na Hawa. Kisha wao wakaanza kuzaa watoto na watoto wakazaa mpaka tukazaliwa sisi. (Mtoto hakuridhika akamfuta mamake)
MTOTO: Mama, eti sisi wanadamu tulikuja vipi duniani?
MAMA: Wanahistoria wamesema sisi tulitokana na nyani baadae tukawa binadamu. (Mtoto akarudi kwa baba)
MTOTO: Baba mbona mama anasema sisi tulikuwa nyani mwanzo?Au wanidanganya?
BABA: Mwanangu, mimi nimekuelezea kuhusu ukoo wetu. Mamako amekuelezea kuhusu ukoo wao...[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
*Mdada akiomba hela ya soda usifikirie ni #500 Soda yao inaanziaga #10,000 na kuendelea sa sijui wenyewe wananunuliaga wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
[emoji3][emoji3][emoji3]I once saw a Science student crying... ME: What's the matter?? Girl: Matter is anything that has mass and occupies space....
Upo vizuri mkuuKissing your man is not a problem. The problem is how you do it. Stop making Sounds like a car Crash.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]