Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Askofu Gwajima aliposema hivi...

"Kuna wakati nilimpigia pasi za mwisho mbili Paulo, Lakini miguu yake ilkuwa mizito utazani imegandamizwa na mfuko wa cemment hakuweza kufunga..Ndipo nikamwambia kuanzia leo mimi ntakuwa nakuita Olivier Giroud Paulo.. Paulo hakupendezwa na kauli yangu labda alitaka nimfananishe na Christiano Ronaldo.. Kitu ambacho ningekuwa nmetenda dhambi.. Yaani kumuita Giroud siku ile ndio imekuwa kosa langu"
 
Tulikua kwenye gari kibao ad wengne mlangon likasmimama kituo kimoja kulikua kuna bibi anataka kupanda

Konda- bibi twende sit kibao ata utalala

Bibi - oooh sawa mjukuu

Konda - simama tu apo wanashuka mbele

Bibi - akacheka sana tu

Konda- mbona unacheka bibi

Bibi - mjukuu hawa wote hawashuki wanakufa apo mbele

Watu- simamisha gar

Saiv bibi kabaki mwenyewe amelala sit ya nyuma..mi napga gia tu ctk mchezo na konda.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] namwambia tuu nilitaka kutoka nje
 
Umenifanya nikachungulie jikoni,

Mama akaniuliza kuna nini, nikamjibu nilijua leo nimeoa. Nilovoenda chooni nikarudi namkuta baba ameshika begi languo zangu na chumba changu kuna solex mpya [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] nadhani baba anataka anisaidie kunyooosha.. Manake krsho ninasafari
 
Nipo na kaka yangu hapa kwenye swimming pool ya nyumbani tunashindana kubana pumzi ndani ya maji lakini Mimi nilitoka punde tu baada ya sekunde kumi baada ya kuingia lakini kaka yangu ni saa la tano hili naona tu amelala Kifudifudi chini kwenye sakafu la swimming pool ndani ya maji kwa kweli kaka yangu huwa hakubali kushindwa na pia mwili wake naona kama unapelekwa maji vile nadhani ananionesha staili tofauti tofauti akitoka na Mimi ntamwambia anifundishe.
 
Kuna jamaa aliweka picha ya ki-pikipiki chake kama whatsapp dp, halaf status akaandika "kabaya kamezeeka lakini kananifanya niishi mjini".

Jana amechange dp ameweka picha ya mchumba wake lakini akasahau kubadilisha status. Unajua kilichotokea??

[emoji23][emoji23][emoji23].!
 
Khaaa,nenda na vitafunwa kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…