Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Wewe badala ya kunitoa stress umenifanya kichaa kwa muda. Pambafuuu
Nimecheka mpaka misuli ya kichwa inauma
Hebu jaribu kumuona docta akupime stress, lazima zitakuwa zimepungua 89.99872% siyo kucheka huko..[emoji1] [emoji1]
=====================================

Hapa home leo wameniuliza ntaoa lini na umri umeenda, nikawajibu ntaoa umri ukirudi!
Sahizi niko mezani sioni chakula, I think leo tumefunga[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]akili yangu naijua mwenyewe[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
 
IMG-20170211-WA0022.jpg
 
Jana nimepewa kazi ya kuandika DUKA LA DAWA MUHIMU sasa boos kaja kasema hanilipi nimeandika vibaya akaondoka sasa nimeamua kufuta MUHIMU nimeweka KULEVYA Niko home nasikia vin'gora bilashaka kuna mgonjwa ameletwa

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Dogo unafanya nionekane chizi hapa nilipo ngoja niangalie football kwanza.
 
SHULE ALIYOKUWA AKISOMA MDOGO WANGU MATOKEO YAPO HIVI
Div I =0
Div II=0
Div III=0
Div IV=0
Div 0= 96
Matokeo ya mdogo wangu bado sijayacheki
NAOMBEA AWE AMEFAULU TUU.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hujapotea kwani wewe huna stress..?
------------------------------
nimemtembelea,rafiki yangu mida ya saa saba hivi na tayari alikuwa amesonga ugali nikamtuma nje wakati anatoka nje nikaongeza maji kwenye sufuria kumbe sikujuwa alipima maji kulingana na unga uliobaki sasa hivi tunakunywa uji hatuongeleshani .
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
kumbe_wote_hatupendangi_ujinga!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani jamani khaa mtaniua
 
Jamani punguzeni pombe,kuna jirani yangu amerudi amelewa sasa nachungulia dirishani naona anagonga mlango wake takribani masaa mawili,wakati hapa anaishi peke yake, kwakuwa sipendagi ujinga nimetoka nikamwambia mwenyewe kasafiri.Nae kaondoka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pombe siyo chai!!
Nilijua unasema pombe siyo magufuli nilijiandaa kulog out nisije kuwa shahidi
 
Leo baba mwenye nyumba alikuja nyumban kwangu mazungumzo yakawa hivi…
Baba: habari za leo kijana
Mimi:safi mzee shikamoo
Baba: marhaba, kijana mbona tarehe zishapita naona kimya
Mimi: vipi uzioni siku zako?

Saivi anatoa vyombo vyangu nje naisi ananisaidia kufanya usafi.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] chaa
 
Nimepitia njia ya police station,, nikaona gari yao imeandikwa 4WD×4WD sasa mimi nikachukua ink pen nikajaza 16W²D² ,, sahiii niko kwa Landrover yao nadhani wananipeleka university kufundisha hesabu[emoji28][emoji28][emoji28]

[HASHTAG]#zotekalikinoma[/HASHTAG]!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kenge sana wewe
 
Hebu jaribu kumuona docta akupime stress, lazima zitakuwa zimepungua 89.99872% siyo kucheka huko..[emoji1] [emoji1]
=====================================

Hapa home leo wameniuliza ntaoa lini na umri umeenda, nikawajibu ntaoa umri ukirudi!
Sahizi niko mezani sioni chakula, I think leo tumefunga[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]akili yangu naijua mwenyewe[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom