Cathy Diwani
Senior Member
- Feb 13, 2016
- 120
- 185
Wewe badala ya kunitoa stress umenifanya kichaa kwa muda. Pambafuuu...bado lazima ziishe kabisa!!
Nimecheka mpaka misuli ya kichwa inauma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe badala ya kunitoa stress umenifanya kichaa kwa muda. Pambafuuu...bado lazima ziishe kabisa!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Nyie watu mtanifanya nionekane chizi. LolWe ndo mjinga kweli mbona inaplay ila sijasikia sauti ngoja nijaribu kuunganisha kwenye bufa. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji16] [emoji16] [emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Nyie watu mtanifanya nionekane chizi. Lol
Hebu jaribu kumuona docta akupime stress, lazima zitakuwa zimepungua 89.99872% siyo kucheka huko..[emoji1] [emoji1]Wewe badala ya kunitoa stress umenifanya kichaa kwa muda. Pambafuuu
Nimecheka mpaka misuli ya kichwa inauma
Dogo unafanya nionekane chizi hapa nilipo ngoja niangalie football kwanza.Jana nimepewa kazi ya kuandika DUKA LA DAWA MUHIMU sasa boos kaja kasema hanilipi nimeandika vibaya akaondoka sasa nimeamua kufuta MUHIMU nimeweka KULEVYA Niko home nasikia vin'gora bilashaka kuna mgonjwa ameletwa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Da aiseeeeeHii ngoma imenibamba jo[emoji4][emoji4]
[emoji666] [emoji820]──────── 03.40
Kuna mjinga kajaribu kuplay[emoji23][emoji23][emoji23]
Ninaimani haujui kusomaTuondolee huu ujinga hapa. Hujui majukwaa ya biashara
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]SHULE ALIYOKUWA AKISOMA MDOGO WANGU MATOKEO YAPO HIVI
Div I =0
Div II=0
Div III=0
Div IV=0
Div 0= 96
Matokeo ya mdogo wangu bado sijayacheki
NAOMBEA AWE AMEFAULU TUU.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani jamani khaa mtaniuaHujapotea kwani wewe huna stress..?
------------------------------
nimemtembelea,rafiki yangu mida ya saa saba hivi na tayari alikuwa amesonga ugali nikamtuma nje wakati anatoka nje nikaongeza maji kwenye sufuria kumbe sikujuwa alipima maji kulingana na unga uliobaki sasa hivi tunakunywa uji hatuongeleshani .
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
kumbe_wote_hatupendangi_ujinga!
Nilijua unasema pombe siyo magufuli nilijiandaa kulog out nisije kuwa shahidiJamani punguzeni pombe,kuna jirani yangu amerudi amelewa sasa nachungulia dirishani naona anagonga mlango wake takribani masaa mawili,wakati hapa anaishi peke yake, kwakuwa sipendagi ujinga nimetoka nikamwambia mwenyewe kasafiri.Nae kaondoka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pombe siyo chai!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] chaaLeo baba mwenye nyumba alikuja nyumban kwangu mazungumzo yakawa hivi…
Baba: habari za leo kijana
Mimi:safi mzee shikamoo
Baba: marhaba, kijana mbona tarehe zishapita naona kimya
Mimi: vipi uzioni siku zako?
Saivi anatoa vyombo vyangu nje naisi ananisaidia kufanya usafi.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kenge sana weweNimepitia njia ya police station,, nikaona gari yao imeandikwa 4WD×4WD sasa mimi nikachukua ink pen nikajaza 16W²D² ,, sahiii niko kwa Landrover yao nadhani wananipeleka university kufundisha hesabu[emoji28][emoji28][emoji28]
[HASHTAG]#zotekalikinoma[/HASHTAG]!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]*Naona pharmacy huku kwetu hawa andiki tena DUKA LA MADAWA..*
*eti kaandika DUKA LA MTU ANAE UMWA*[emoji23][emoji23]
Makonda jaman
Hivi jamani mnatutakia nini wengine hatuna bima na garama hizi tukiumia mbavu mtachangia matibabu acheni mambo ya ajabu bana......ila da kwakweli Tanzania ya viwanda inakuja
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hebu jaribu kumuona docta akupime stress, lazima zitakuwa zimepungua 89.99872% siyo kucheka huko..[emoji1] [emoji1]
=====================================
Hapa home leo wameniuliza ntaoa lini na umri umeenda, nikawajibu ntaoa umri ukirudi!
Sahizi niko mezani sioni chakula, I think leo tumefunga[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]akili yangu naijua mwenyewe[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]