Kama una tabia hizi 10, huwezi kamwe kufanikiwa kwenye maisha

Watu kama nyny ndio nawapenda
 
Mi nimejiuliza mpaka nimekosa majibu. Hili andiko lina kosa gani mpaka mtu km Extrovert na witnessj kum attack mleta mada kiasi kile au ishu ilikuwa ni kuuza vitabu?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Hahahah yeye mtoa mada ame attack wajumbe kama kweli fasihi unaijua vizuri na ndio maana alianza na kusema “Sipendi kuwa mtu wa kuleta habari mbaya kwako, lakini ukweli huwa haujali.”
 
Ndio wabongo tulio wengi tulivyo. Negativity imeshakuwa part ya maisha yetu, tena wengine wana heshima kubwa humu jamvini lakini utopolo wanaouandika kwenye huu uzi huwezi kudhania.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Hii tabia imekuwa ikijikita mizizi Tanzania.

Zile haiba za kutofautiana na kushindana mawazo kwa arguments zimepotea Sana Tanzania.

Tanzania kwasasa ukiwa mtu wa arguments na mdadisi unaitwa mjuaji au mbishi.

Hii tabia imekita mizizi Hadi kwa wanasiasa wetu ndio maana kila mwaka wao hawawazi na kubuni vyanzo vipya vya mapato ila kila mwaka wanaongeza Kodi kwenye bia. Sababu ni hawatoi muda kwa vichwa vyao kutafakari Bali kutumia shortcut za kupata majibu katika maswali magum.
 
Kweli kabisa mkuu.

Tumekuwa Sana brainwashed na Negativity.

Tanzania siku zote utapata Positive feedback Kama ukileta mada umepata shida ( Umevamiwa na majambazi, umepata hasara ya biashara n.k).

Lakini ukija na mada umepata faida katika biashara , umenunua Gari jipya, au uje ushauri watu namna ya kuwa wajasiriamali utapata Negativity za kutosha.

Kuna taasisi nimewahi kufanya nao kazi hawataki kabisa kufanya kazi na watanzania kwasababu Ni watu wa shortcut. Sisi tulipata nafasi kwasababu ya Sera za hiyo NGO tu kufanya kazi na mataifa yote ila Viongozi wakiwa wakenya huwezi pata kazi.

So watanzania wenzangu tujitahid tuwe tunashambulia Mada. Hata mtu akikwambia wewe ni mjinga jitahidi kutumia arguments kupinga wewe sio mjinga
 
Hahahah yeye mtoa mada ame attack wajumbe kama kweli fasihi unaijua vizuri na ndio maana alianza na kusema “Sipendi kuwa mtu wa kuleta habari mbaya kwako, lakini ukweli huwa haujali.”
Chief bado sioni tatizo lolote la mleta mada otherwise uwe umejishtukia tu! Mleta mada kaleta madini tena ambayo ni positive lakini still mnamua attack km vile amewashikia fimbo mnunue vitabu vyake.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Ahsante kwa muongozo... Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Alaf nyie jamaa motivation speaker mnajiona mmewin life sana wakat hata kaz ngum hamuwez
 

Kwa nini unamkatisha mwenzako tamaa alichoongea nimekiishi.Sijigambi wala si tajiri na si maskini kama ninaghorofa nne Dar na kampuni mbili zinalipa kodi ya serikali kisawasawa Kwa kuyaishi maisha ya maelezo hayo. Ni ukweli asilimia mia moja
 

Tatizo watu wengi wanataka kusikia Habari Za harmorapa Na Amber lulu na tajiri ni mchawi basi kujifunza hawataki Cha ajabu wengine wamefika chuo kikuu du!
 
Nilipoona tu kusoma vitabu nikajua ni walewale wauza Nadharia
 
Huu ni Ukweli na Ukweli unauma ndio maana wanaona na kuhisi ni personal attack.
Hivyo wanafanya kila njia ili kushawishi ubongo wao kwamba walichokisoma sio kweli.

Ujumbe unaeleweka mkuu.
 
Wewe ni tajiri tuanzie hapo?
Kuna watu naturally wanazaliwa na gene inaitwa negativity gene.
Yaani haijalishi uambiwe nini wewe ni negative tu.
Jichunguze alafu niambie kama nadanganya.

Wewe ni mmoja wa watu wenye negativity gene.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…