Mkuu mi siyo mtoto ila n mtu unakuwa hivyo unakuta unazoea tu. Ila mie kiumri nipo gadooo, sema masomo tyu labda ndo yanafanya nionekane mtotoIla wewe bado mtoto sana dah sijji ina guts gani kutongoza mama zako..andika yako tu unaonekana mtoto kbs! Ila pambana..una spirit fulan
Mkuu mi siyo mtoto ila n mtu unakuwa hivyo unakuta unazoea tu. Ila mie kiumri nipo gadooo, sema masomo tyu labda ndo yanafanya nionekane mtoto
Kwahyo hiyo ndo inanifanya nionekane mtoto mkuu"Tyu"
Kwahyo hiyo ndo inanifanya nionekane mtoto mkuu
Mkuu n maandish tu kwahyo hayahusian na umri, afu kuhusu mijimama wakat mwingine n utan tyu. Ila ikija kizembe inaliwaDah...mimi sijui naonaje! Anywys
Acha zako majimama umwachie nani Mkuu!!? Wewe tulia hapa upunguze stress za ugumu wa life na upate Idea mkuuIla niseme kweli Jamiiforomus ndo inmenifanya saiv napata hiki kidogo ninacho ingiza kwahyo cyo mbaya kuendelea kupata mawazo yenu. Ni kweli ukiangalia nyuz zangu nilikuwa nalaumu but saiv nasema hata Mungu ananiona naridhika na nikipatacho kwa siku naingiza ata 8,000 kidogo maisha naona nimeanza upya tofauti na kipindi nimeanza likizo ya Corona. Niliona kitaa hakufai kabsaaaa
Endeleeen kunipa madini ila saiv nimeanza kufuga nimeanza na mitetea 5 wa chotara mbegu ya Israel na jogoo 1 ila yenyew n Malawi. Kwahyo kwa kudra na Mungu nitasonga mbeleeee
Mkuu mie sina stress na life man, uhakika wa kula ukiwepo na kupiga konyagi na kuchukua hata jimama linalojiuza stress nitatoa wap? Nilichogundua ni kuwa humu jamii forums kuna njemba nyingi sana hazna misheeeAcha zako majimama umwachie nani Mkuu!!? Wewe tulia hapa upunguze stress za ugumu wa life na upate Idea mkuu
Typed Using KIDOLE
Sawa jombaa hebu sogea Mkolani hapa tupige Nyagi Ila sitaki jimamaMkuu mie sina stress na life man, uhakika wa kula ukiwepo na kupiga konyagi na kuchukua hata jimama linalojiuza stress nitatoa wap? Nilichogundua ni kuwa humu jamii forums kuna njemba nyingi sana hazna misheee
Mi saiv ndo natoka hapa Rock City mall afu nikaptia chimbo nikagegeda chapu saiv akili ipo sawa sana naenda kulalaSawa jombaa hebu sogea Mkolani hapa tupige Nyagi Ila sitaki jimama
Typed Using KIDOLE
Nitakuchek pm mkuuNipe dili basi mzee kaka!
sio shida ...ifike hio 250, halafu screenshot hivyo hivyo ukiwa ume withdrawal hio helaView attachment 1452132
Bado ngapi Hapo.
Nitakuchek pm mkuu
😁😁,Ntaleta mrejesho,endelea kuclick hiyo link tuinuane,,now Niko 183 USD bado 67 usdsio shida ...ifike hio 250, halafu screenshot hivyo hivyo ukiwa ume withdrawal hio hela
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa nikipita Rock City Mall,naishia kusikitika tu,,,ule mjengo ulifaa uwepo pale Sahara,,Yale maeneo kuchangamka sio leoMi saiv ndo natoka hapa Rock City mall afu nikaptia chimbo nikagegeda chapu saiv akili ipo sawa sana naenda kulala
mimi sina gheto nina nyumba, sasa wewe unashindanisha vipi gheto na nyumba[emoji848]Hahahahahah! Mi ctafuti pakulala mkuu nina gheto mkuu labda linaweza kuzid ata lako
ana laana huyu tumsamehe....Ila wewe bado mtoto sana dah sijji ina guts gani kutongoza mama zako..andika yako tu unaonekana mtoto kbs! Ila pambana..una spirit fulan
Sawa mkuu mi bado ctak kumiliki mjengo mkuu make sijawa NHC. Ila baada ya miaka kama mitatu lazima nimiliki mjengo wanguuumimi sina gheto nina nyumba, sasa wewe unashindanisha vipi gheto na nyumba[emoji848]
SafiSawa mkuu mi bado ctak kumiliki mjengo mkuu make sijawa NHC. Ila baada ya miaka kama mitatu lazima nimiliki mjengo wanguuu
Uzi ulikua unaenda vizuri huyu kirusi anaanza kuunyea halafu nyie mna mu entertain.
Back to the subject. Mimi nimetumia siku tatu kusoma uzi mzima na niwashukuru Woote mliochangia na mlionichekesha pia.
Nitaingia kwa drawing board nifanye mambo
So far nimetoka na mambo hayo attached chini.
Out of curiosity @waangari maathai wewe ni Ke sio? I had that impression for long hapa jf ila ulipokua unabishana na huyo kirusi mchafua uzi sijui kwa nn nikabadilisha mawazo. Nisamehe km nitakua nimekubandika gender isio yako😉