Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Ila wewe bado mtoto sana dah sijji ina guts gani kutongoza mama zako..andika yako tu unaonekana mtoto kbs! Ila pambana..una spirit fulan
Mkuu mi siyo mtoto ila n mtu unakuwa hivyo unakuta unazoea tu. Ila mie kiumri nipo gadooo, sema masomo tyu labda ndo yanafanya nionekane mtoto
 
Ila niseme kweli Jamiiforomus ndo inmenifanya saiv napata hiki kidogo ninacho ingiza kwahyo cyo mbaya kuendelea kupata mawazo yenu. Ni kweli ukiangalia nyuz zangu nilikuwa nalaumu but saiv nasema hata Mungu ananiona naridhika na nikipatacho kwa siku naingiza ata 8,000 kidogo maisha naona nimeanza upya tofauti na kipindi nimeanza likizo ya Corona. Niliona kitaa hakufai kabsaaaa

Endeleeen kunipa madini ila saiv nimeanza kufuga nimeanza na mitetea 5 wa chotara mbegu ya Israel na jogoo 1 ila yenyew n Malawi. Kwahyo kwa kudra na Mungu nitasonga mbeleeee
Acha zako majimama umwachie nani Mkuu!!? Wewe tulia hapa upunguze stress za ugumu wa life na upate Idea mkuu

Typed Using KIDOLE
 
Acha zako majimama umwachie nani Mkuu!!? Wewe tulia hapa upunguze stress za ugumu wa life na upate Idea mkuu

Typed Using KIDOLE
Mkuu mie sina stress na life man, uhakika wa kula ukiwepo na kupiga konyagi na kuchukua hata jimama linalojiuza stress nitatoa wap? Nilichogundua ni kuwa humu jamii forums kuna njemba nyingi sana hazna misheee
 
Sawa jombaa hebu sogea Mkolani hapa tupige Nyagi Ila sitaki jimama

Typed Using KIDOLE
 
Sawa jombaa hebu sogea Mkolani hapa tupige Nyagi Ila sitaki jimama

Typed Using KIDOLE
Mi saiv ndo natoka hapa Rock City mall afu nikaptia chimbo nikagegeda chapu saiv akili ipo sawa sana naenda kulala
 
mimi sina gheto nina nyumba, sasa wewe unashindanisha vipi gheto na nyumba[emoji848]
Sawa mkuu mi bado ctak kumiliki mjengo mkuu make sijawa NHC. Ila baada ya miaka kama mitatu lazima nimiliki mjengo wanguuu
 
Uzi ulikua unaenda vizuri huyu kirusi anaanza kuunyea halafu nyie mna mu entertain.

Back to the subject. Mimi nimetumia siku tatu kusoma uzi mzima na niwashukuru Woote mliochangia na mlionichekesha pia.

Nitaingia kwa drawing board nifanye mambo
So far nimetoka na mambo hayo attached chini.

Out of curiosity @waangari maathai wewe ni Ke sio? I had that impression for long hapa jf ila ulipokua unabishana na huyo kirusi mchafua uzi sijui kwa nn nikabadilisha mawazo. Nisamehe km nitakua nimekubandika gender isio yako😉
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    146.5 KB · Views: 68

  • Kweli ni kirusi,but sorry hapo sija elewa vzr mkuu hii attachment
 
Back
Top Bottom