Ila niseme kweli Jamiiforomus ndo inmenifanya saiv napata hiki kidogo ninacho ingiza kwahyo cyo mbaya kuendelea kupata mawazo yenu. Ni kweli ukiangalia nyuz zangu nilikuwa nalaumu but saiv nasema hata Mungu ananiona naridhika na nikipatacho kwa siku naingiza ata 8,000 kidogo maisha naona nimeanza upya tofauti na kipindi nimeanza likizo ya Corona. Niliona kitaa hakufai kabsaaaa
Endeleeen kunipa madini ila saiv nimeanza kufuga nimeanza na mitetea 5 wa chotara mbegu ya Israel na jogoo 1 ila yenyew n Malawi. Kwahyo kwa kudra na Mungu nitasonga mbeleeee