Kuna watu wanaishi, afu kuna sisi tupo tupo tu.....View attachment 3491036
Haya ndiyo maisha wanayoishi wapigiwa kura wakati GenZ wanaambiwa watapewa mikopo ya milioni 5 kila wilaya. Wapigiwa kuwa wana pack nagar ya bilioni 5 kwenye yard nyumbani kwao.
Hapo gari la bei ya chini linaanzia billion 11Mtaalam mmoja wa magari anisaidie kuyachambua na makadirio ya bei zake kama hatajali.
Una uhakika mwenye hayo magari alitumia pesa zake?Hiyo ni roho mbaya tafuta hela zako na ww ununue magari makali
Kwani hao wametafuta zao?Hiyo ni roho mbaya tafuta hela zako na ww ununue magari makali
Zimebaki siku 9 mzee vipi umeshaandaa vidonge vya presha?Kuna mmoja yupo ajira portal mda huu, ni chawa mwandamizi wa maccm kumbe hata ajira tu hana, yupo busy kutetea mabilionea wa Tanzania
October 2pm
Huyo Abdul mtoto mdogo hela katafuta lini ikiwa Mama yake kwa.miaka yote aliyotumikia taifa pia hawezi kununu G-Wagon kwa mshahara wake achilia.mbali viinua mgongo vyake.Hiyo ni roho mbaya tafuta hela zako na ww ununue magari makali
Kuwachukia matajiri ni dalili ya umasikini na ujingaView attachment 3491036
Haya ndiyo maisha wanayoishi wapigiwa kura wakati GenZ wanaambiwa watapewa mikopo ya milioni 5 kila wilaya. Wapigiwa kuwa wana pack nagar ya bilioni 5 kwenye yard nyumbani kwao.