GE2025 Kama unamiliki utajiri wa kuanzia bilioni 5, kapige kura 29/10/2025

GE2025 Kama unamiliki utajiri wa kuanzia bilioni 5, kapige kura 29/10/2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3491036
Haya ndiyo maisha wanayoishi wapigiwa kura wakati GenZ wanaambiwa watapewa mikopo ya milioni 5 kila wilaya. Wapigiwa kuwa wana pack nagar ya bilioni 5 kwenye yard nyumbani kwao.
Acha wavune utajiri kadri watakavyo kwenye taifa la wajinga kisha waishi maisha ya anasa ambayo watanganyika wengi kamwe hawatakuja kuyaishi.

Binafsi mimi imefika stage mpaka akili yangu imeozea kabisa kuona hii familia ikitapanya kodi za watanzania na wala sishtuki wala kuumia.

Kinachoniumiza na kunichukiza zaidi ni kuona watanganyika wenzangu wanaitetea hii familia kila aina ya ushenzi na ushetani inaoufanya, kwanzia ufisadi mpaka mauaji kwenye taifa letu la tanganyika.

Hapa ilipaswa watanganyike wote kwa moyo wa dhati kabisa tuungane na kuwakemea hawa majizi wanaoishi maisha ya anasa kwa kuwaumiza wanainchi, pengine wangeona aibu na kupunguza huu ufisadi wanaoufanya...

.. Ila sasa badala yake watanganyika baadhi yetu ndio kwanza wanashinda mitandaoni kuwatetea hii familia ya majizi na watesi wetu kwa sababu tu za kufanana nao kiimani au kwa ujira mdogo usiotosha hata kununua bando.

Nafikiri hata Abdul mwenyewe akionaga jinsi anavyotetewa na watu huku mitandaoni anakuwa na moyo mweupe kabisa na wala hajioni ni mwenye hatia, kwa ufupi tu hasumbuliwi kabisa na guilty conscience.
 
Sizipendi gari zilizo muundo huo was kuwa chini, naziona km tax, corora au Carina, hata Mercedes-Benz, naziona km kirikou. 😂😂😂😂

Gari km hizo hapo G wagon, Jeep, LC, Range, etc.
Unyama sana.
sure kuna wengine, hawapendi hizo sedan. Ila kama hela ipo sio mbaya kufanya parking kuwa mseto.. 😎

Mchezo wa pesa tu
 
Unapoteza 500M kununua Bentley? Si bora ununue hata Harrier 6. Unazipanga yard yako.
😂😂😂😂😂
😅😅 Ukipata access ya kufanya movement ya papo kwa hapo.. Ingia kwenye Bentley, then shuka alafu uingie kwenye Harrier ndio utaona tofauti ya kwanini moja 500 million na ingine 80 million. Sema nini tusake hela tu
 
View attachment 3491036
Haya ndiyo maisha wanayoishi wapigiwa kura wakati GenZ wanaambiwa watapewa mikopo ya milioni 5 kila wilaya. Wapigiwa kuwa wana pack nagar ya bilioni 5 kwenye yard nyumbani kwao.
Hawa ndio wanasema tusichezee amani amani ifike hiyo tarehe 29 tuanze deal nao maana wanajua tutaenda barabarani siye tunakuja kwenye haya magari wengine kariakoo, wengine bandarini uko ya i kila mtu akachukue chake tu tuone hao askari wakuzibiti raia kote
 
Simchukii Jeff Benzos wala Elon Musk na hata Aliko Dangote. Hawa ninajua vyanzo vya utajiri wao.
Huwezi kujua chanzo cha utajiri wa yeyote unajidqnganya nafsi yako..
Utajiri siri ya tajiri mwenyewe
 
Sizipendi gari zilizo muundo huo was kuwa chini, naziona km tax, corora au Carina, hata Mercedes-Benz, naziona km kirikou. 😂😂😂😂

Gari km hizo hapo G wagon, Jeep, LC, Range, etc.
Unyama sana.
Coca ..unaona wttu wanafanya kufuru?
 
kizuia kwa njia ya maandamano tunadanganyana, mabadiliko kokote duniani yanaanzia vyuoni, wanavyuo wakibadilika tanzania itakombolewa siku hiyo, vinginevo tuendelee kusali tu, hawa wa mtaani ni vibaka kubomoa maduka ya watu ila wanachuo pekee yao wanaweza ikomboa tanzania hata wakiwa mia ru inatosha kabisa



fullstop, kwishaaaa
 
Back
Top Bottom