GE2025 Kama unamiliki utajiri wa kuanzia bilioni 5, kapige kura 29/10/2025

GE2025 Kama unamiliki utajiri wa kuanzia bilioni 5, kapige kura 29/10/2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nataka kupimia "INJI" inavyotafunwa mkuu wangu.
Mfano hiyo Harrier zinazunzwa 80 million, hiyo LC300 zinacheza around 400mill hadi 350 mill, hiyo G-Wagon Brabus ( ina range 700-900 mill hatujui version ipi na inaweza kuwa hadi chini ya hapo. Hiyo Bentley haizidi mia tano. N.:B sitetei uwizi, maana hata mie tarehe 29 natoka na dumu la petrol na vilipuzi vya kutosha hadi viumane.

NB nchi imetafunwa haswaa, na sie mda wetu wa kuwatafuna unakaribia kwa kasi sanaa. Hiyo tarehe 29 lazima waonje moto moto
 
Huwezi kuwa mtoto wa Rais ukawa maskini. Nyie mlio na nongwa mkiona vijana wenu wanafanya kazi TRA, BOT, Ngorongoro au taasisi nyingine inayoonekana kulipa vizuri wana maisha ya kawaida mnaanza kuwasema na kuwaona wajinga. Tena wengine mnafikia kuwakalisha chini na kuwaambia kuwa hawaoni wenzao wamefanya kazi muda mfupi ila wana maendeleo? Nyie ndo mngekuwa marais mngefanya kufuru.
Unachosema ni kweli mkuu. Ila wao wanavuka mipaka mkuu.

Mambo haya mbona hayakuwa kwa watoto wa Mkapa Benjamin ? au kwa Mzee Ruksa, Alhasan Mwinyi..
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Mangekimambi anahamasisha maandamano ila yeye mwenyewe kaogopa kutokea kwenye maandamano ya juzi huko marekani ambapo anasema kuna amani, hiyo ni ishara kuwa Nyumbu ni waoga sana physically ila mna mikwara sana mtandaoni na hamna atakaeandamana.

Kwa umri wako ni bora ukatulia umeze vidonge vyako vya presha kwa amani ila ukitaka varangati hutoboi hata nusu saa.
Umri wangu umeujulia wapi we kigagula wa maccm? Nenda ajira portal ukatume maombi ya ajira.
 
mama yake kaanza miliki tv na radio kule zanzibar tangu 2008 halafu useme hana hela abdul kawa na duka kubwa la betri rim tyere tena anauza jumla na reja reja pale livingstone karibu na kariakoo bazari na al shadai toka 2010
We liccm jing...a sana
 
Unachosema ni kweli mkuu. Ila wao wanavuka mipaka mkuu.

Mambo haya mbona hayakuwa kwa watoto wa Mkapa Benjamin ? au kwa Mzee Ruksa, Alhasan Mwinyi..
Kuhusu watoto wa maraisi wa awamu zilizopita sijasikia sana tuhuma zao ila nina uhakika nao sio maskini. Ila Mkuu ni kweli kuna ufisadi unafanyika sehemu nyingi hadi ndani ya taasisi za wanaharakati wetu wa upinzani. Ila tujikumbushe tuko kwenye dunia ya kibepari kwa sasa kiasi kwamba hadi makanisani hawahubiri tena injili ya Yohana bali utajiri wa haraka. Watu wanaambiwa pokea gari pokea nyumba huku wakikamuliwa kihuni kile kidogo walichonacho. Pia maendeleo ya teknolojia yanafanya mambo mengi yaanikwe hadharani. Awamu zilizopita pia kulikuwa na ufisadi sema ilikuwa ngumu kujua kutokana na njia za kufikishiana habari kuwa ngumu. Cha muhimu ni kuacha kulaumu watu bila kuwa na ushahidi.
 
Halafu kidampa Lucas Mwashambwa anajivunia kile kibaiskeli mkweche kutoka uchina cha rangi ya njano na kijani ikiwa na picha ya Samia
20250830_085228.jpg
 
"Why, man, he doth bestride the narrow world
Like a Colossus, and we petty men
Walk under his huge legs and peep about
To find ourselves dishonorable graves.
Men at some time are masters of their fates.
The fault, dear Brutus, is not in our stars
But in ourselves, that we are underlings."
Ujumbe mzito wa Shakespear.
 
Yes mkuu, hiyo Bentley. Ikikupendeza mvutie shemeji yetu mkuu . Si umeona Dula kamchukulia mke wa pili 😅😅
Sizipendi gari zilizo muundo huo was kuwa chini, naziona km tax, corora au Carina, hata Mercedes-Benz, naziona km kirikou. 😂😂😂😂

Gari km hizo hapo G wagon, Jeep, LC, Range, etc.
Unyama sana.
 
Back
Top Bottom