GE2025 Kama unamiliki utajiri wa kuanzia bilioni 5, kapige kura 29/10/2025

GE2025 Kama unamiliki utajiri wa kuanzia bilioni 5, kapige kura 29/10/2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Uwezo kutafsiri Taarifa , uwezo wa kufanya maamuzi na kutatua matatizo yetu binafsi bado upo chini.!🤲
 
ÌUtajiri una historia yake,mbona hawahojiwi watoto wa Bakhressa na anahojiwa Mtoto wa Samia.Kuna biashara gani Ikulu inayowafanya wamiliki magari ya mabilionea kule Ulaya na Marekani!!
Mna manung'uniko muda wote utadhani wazee
 
Dogo niondolee masaburi yako! Bado sijapata sukari kama wewe, vipi wewe una kipato au upo busy ajira portal kama October 2pm ?
Mangekimambi anahamasisha maandamano ila yeye mwenyewe kaogopa kutokea kwenye maandamano ya juzi huko marekani ambapo anasema kuna amani, hiyo ni ishara kuwa Nyumbu ni waoga sana physically ila mna mikwara sana mtandaoni na hamna atakaeandamana.

Kwa umri wako ni bora ukatulia umeze vidonge vyako vya presha kwa amani ila ukitaka varangati hutoboi hata nusu saa.
 
"...Njia ni moja tuuu...ni pale ambapo Maumivu na uchungu vinapozidi hofuuu ya mabadiliko!!✍️
 
Huyo Abdul mtoto mdogo hela katafuta lini ikiwa Mama yake kwa.miaka yote aliyotumikia taifa pia hawezi kununu G-Wagon kwa mshahara wake achilia.mbali viinua mgongo vyake.
mama yake kaanza miliki tv na radio kule zanzibar tangu 2008 halafu useme hana hela abdul kawa na duka kubwa la betri rim tyere tena anauza jumla na reja reja pale livingstone karibu na kariakoo bazari na al shadai toka 2010
 
Hayo ni nagar ya Abdul Ameir metals nyumbani kwake Mikocheni karibu na Palm Village anapoishi na mke wake wa pili Mwanahamisi.
Mbona Kijana ni bado dogo, anakimbizana na mambo ya wake wawili ? Aiseeee
 
Huwezi kuwa mtoto wa Rais ukawa maskini. Nyie mlio na nongwa mkiona vijana wenu wanafanya kazi TRA, BOT, Ngorongoro au taasisi nyingine inayoonekana kulipa vizuri wana maisha ya kawaida mnaanza kuwasema na kuwaona wajinga. Tena wengine mnafikia kuwakalisha chini na kuwaambia kuwa hawaoni wenzao wamefanya kazi muda mfupi ila wana maendeleo? Nyie ndo mngekuwa marais mngefanya kufuru.
 
Hapo gari la bei ya chini linaanzia billion 11
Hapana mkuu. Jibu lako ni potoshi hakuna hata gari inayofikia thamani ya 1.5 Billion. Mfano hiyo Harrier zinazunzwa 80 million, hiyo LC300 zinacheza around 400mill hadi 350 mill, hiyo G-Wagon Brabus ( ina range 700-900 mill hatujui version ipi na inaweza kuwa hadi chini ya hapo. Hiyo Bentley haizidi mia tano. N.:B sitetei uwizi, maana hata mie tarehe 29 natoka na dumu la petrol na vilipuzi vya kutosha hadi viumane.

c.c Werrason
 
Back
Top Bottom