GE2025 Kama unamiliki utajiri wa kuanzia bilioni 5, kapige kura 29/10/2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hata usipopiga kura utaendelea kulipa kodi vinginevyo usivae nguo, usile, usinunue umeme, usiweke bundle, usipande usafiri wowote tembea kwa miguu, usifanye kazi hapo ndo utakua umeweka mgomo wenye manufaa ila siyo kura , kura ni makaratasi tu
 
Kuna mmoja yupo ajira portal mda huu, ni chawa mwandamizi wa maccm kumbe hata ajira tu hana, yupo busy kutetea mabilionea wa Tanzania

October 2pm
Zimebaki siku 9 mzee vipi umeshaandaa vidonge vya presha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…