Mfano hiyo Harrier zinazunzwa 80 million, hiyo LC300 zinacheza around 400mill hadi 350 mill, hiyo G-Wagon Brabus ( ina range 700-900 mill hatujui version ipi na inaweza kuwa hadi chini ya hapo. Hiyo Bentley haizidi mia tano. N.:B sitetei uwizi, maana hata mie tarehe 29 natoka na dumu la petrol na vilipuzi vya kutosha hadi viumane.Nataka kupimia "INJI" inavyotafunwa mkuu wangu.
Hii EHC ni Bentley?
Unachosema ni kweli mkuu. Ila wao wanavuka mipaka mkuu.Huwezi kuwa mtoto wa Rais ukawa maskini. Nyie mlio na nongwa mkiona vijana wenu wanafanya kazi TRA, BOT, Ngorongoro au taasisi nyingine inayoonekana kulipa vizuri wana maisha ya kawaida mnaanza kuwasema na kuwaona wajinga. Tena wengine mnafikia kuwakalisha chini na kuwaambia kuwa hawaoni wenzao wamefanya kazi muda mfupi ila wana maendeleo? Nyie ndo mngekuwa marais mngefanya kufuru.
ππ Bwana akifanya njia nitamnunulia Mkuu.Yes mkuu, hiyo Bentley. Ikikupendeza mvutie shemeji yetu mkuu . Si umeona Dula kamchukulia mke wa pili π π
Huna akiliMna manung'uniko muda wote utadhani wazee
Umri wangu umeujulia wapi we kigagula wa maccm? Nenda ajira portal ukatume maombi ya ajira.Mangekimambi anahamasisha maandamano ila yeye mwenyewe kaogopa kutokea kwenye maandamano ya juzi huko marekani ambapo anasema kuna amani, hiyo ni ishara kuwa Nyumbu ni waoga sana physically ila mna mikwara sana mtandaoni na hamna atakaeandamana.
Kwa umri wako ni bora ukatulia umeze vidonge vyako vya presha kwa amani ila ukitaka varangati hutoboi hata nusu saa.
unajua maaana ya ubepari?Ni huzuni, alafu kuna majinga hohe hahe mlo mmoja wenyewe tabu, yanakwambia yatatiki October! Tumelogwa
πππππKuna mmoja yupo ajira portal mda huu, ni chawa mwandamizi wa maccm kumbe hata ajira tu hana, yupo busy kutetea mabilionea wa Tanzania
October 2pm
Du watu mna details hatari ushakunaku huuHayo ni nagar ya Abdul Ameir metals nyumbani kwake Mikocheni karibu na Palm Village anapoishi na mke wake wa pili Mwanahamisi.
We liccm jing...a sanamama yake kaanza miliki tv na radio kule zanzibar tangu 2008 halafu useme hana hela abdul kawa na duka kubwa la betri rim tyere tena anauza jumla na reja reja pale livingstone karibu na kariakoo bazari na al shadai toka 2010
Sio tupo tupo tu sisi tupo kuwasindikiza waishi vizuri huku tukipigika na mitozo mpaka tuchakaeeeeKuna watu wanaishi, afu kuna sisi tupo tupo tu.....
Kuhusu watoto wa maraisi wa awamu zilizopita sijasikia sana tuhuma zao ila nina uhakika nao sio maskini. Ila Mkuu ni kweli kuna ufisadi unafanyika sehemu nyingi hadi ndani ya taasisi za wanaharakati wetu wa upinzani. Ila tujikumbushe tuko kwenye dunia ya kibepari kwa sasa kiasi kwamba hadi makanisani hawahubiri tena injili ya Yohana bali utajiri wa haraka. Watu wanaambiwa pokea gari pokea nyumba huku wakikamuliwa kihuni kile kidogo walichonacho. Pia maendeleo ya teknolojia yanafanya mambo mengi yaanikwe hadharani. Awamu zilizopita pia kulikuwa na ufisadi sema ilikuwa ngumu kujua kutokana na njia za kufikishiana habari kuwa ngumu. Cha muhimu ni kuacha kulaumu watu bila kuwa na ushahidi.Unachosema ni kweli mkuu. Ila wao wanavuka mipaka mkuu.
Mambo haya mbona hayakuwa kwa watoto wa Mkapa Benjamin ? au kwa Mzee Ruksa, Alhasan Mwinyi..
Kuna watu wanishi na kuna watu wanaisha.Kuna watu wanaishi, afu kuna sisi tupo tupo tu.....
Sizipendi gari zilizo muundo huo was kuwa chini, naziona km tax, corora au Carina, hata Mercedes-Benz, naziona km kirikou. ππππYes mkuu, hiyo Bentley. Ikikupendeza mvutie shemeji yetu mkuu . Si umeona Dula kamchukulia mke wa pili π π