BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,265
mkuu hapo zanzibar tu nungwi watoto wanaenda shule pekuu bila viatu dunia hii ya leo 2025, are we serious mkuuNi kweli hatuwezi kuwa sawa wote ila viongozi mjitahidi kidogo kupunguza anasa at the expense of the people
anamikiki matakoo tu wenzake au maboss wake wanaishi haswaaaLucas Mwashambwa anamiliki utajiri wa bilioni ngapi?
bro katika kosa unalo fanya kwenye pointi yako nikuweka ubaguzi hapo ndo project nying za upinzan zna fail unacholeta wewe apa ni uzanzibar na utanganyika una point ila ubaguz umekuharibia mkuuAcha wavune utajiri kadri watakavyo kwenye taifa la wajinga kisha waishi maisha ya anasa ambayo watanganyika wengi kamwe hawatakuja kuyaishi.
Binafsi mimi imefika stage mpaka akili yangu imeozea kabisa kuona hii familia ikitapanya kodi za watanzania na wala sishtuki wala kuumia.
Kinachoniumiza na kunichukiza zaidi ni kuona watanganyika wenzangu wanaitetea hii familia kila aina ya ushenzi na ushetani inaoufanya, kwanzia ufisadi mpaka mauaji kwenye taifa letu la tanganyika.
Hapa ilipaswa watanganyike wote kwa moyo wa dhati kabisa tuungane na kuwakemea hawa majizi wanaoishi maisha ya anasa kwa kuwaumiza wanainchi, pengine wangeona aibu na kupunguza huu ufisadi wanaoufanya...
.. Ila sasa badala yake watanganyika baadhi yetu ndio kwanza wanashinda mitandaoni kuwatetea hii familia ya majizi na watesi wetu kwa sababu tu za kufanana nao kiimani au kwa ujira mdogo usiotosha hata kununua bando.
Nafikiri hata Abdul mwenyewe akionaga jinsi anavyotetewa na watu huku mitandaoni anakuwa na moyo mweupe kabisa na wala hajioni ni mwenye hatia, kwa ufupi tu hasumbuliwi kabisa na guilty conscience.
Mjinga ni wewe hoe hae.Acheni ujinga ndugu zangu Watanzania
Mtanganyika anaweza kwenda kupora rasilimali za Zanzibar wazenji wapotezee na kumnyamazia??Potezea. We ishi maisha yako, usiweke sn madukuduku moyoni itakusaidia sn kwa afya yako. Pia amini hata waibe vp ipo siku wataviacha tu
Zero fucck given mate..!!bro katika kosa unalo fanya kwenye pointi yako nikuweka ubaguzi hapo ndo project nying za upinzan zna fail unacholeta wewe apa ni uzanzibar na utanganyika una point ila ubaguz umekuharibia mkuu
fullstop, kwishaaaa
We upo dunia gani ndugu?Magari ya nani haya?
Mtaalam mmoja wa magari anisaidie kuyachambua na makadirio ya bei zake kama hatajali.
Watu WANAISHI Braza wewe UNAISHIA Kama sisi tu .Kuna watu wanaishi, afu kuna sisi tupo tupo tu.....
Nimelia Sana Yani wanakupa Nginjo ( Baskeli ) huku Dully kapaki Wagon na haitumii ( tembo mweupe ).Acheni ujinga ndugu zangu Watanzania
Ok, ilikuwa ni ushauri tu. Sasa wewe endelea kuumia na utajiri wa kina Abdul hali ya kuwa huna cha kuwafanyaMtanganyika anaweza kwenda kupora rasilimali za Zanzibar wazenji wapotezee na kumnyamazia??
Sasa hivi Watanganyika wanajitambua bro
Yangu chukua,mi staki5M kila wilaya π
Mpaka imfikie mtu mmoja mmoja c watapata jero jero π
Ah hata mm sitak hy jero πYangu chukua,mi staki