Kama unashangaa au hauoni mantiki ya Putin kuivamia Ukraine basi wewe upo kwenye Kundi la watu hawa

Nakazia
 
Huna lolote.
Wewe ni wale wale wajinga.
Tafuta kazi ufanye.... Acha kukesha kwenye social network kuangalia pumba
 
Hatari ni kama ina hatarisha maisha yangu
Hatari kubwa ni jinsi mlengwa wa hatari anavyoiona.

Putin unaona hatari kubwa kwake. Tatizo kakurupuka. Huenda vita hii ikaenda naye mazima
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Kweli UTOTO raha sana.....
 
Kweli kabisa mkuu huyu jamaa anatumia minguvu mingi bila maarifa ,angekua basi hata anatoa ela ,yan jamaa likiwa rafiki yako halikupi hata mia, we angalia kuna mashirika mangapi ya misaada kutoka urusi ,yan anazidiwa hadi na Sweden ,to a hela upate marafiki siyo kutumia maubabe,aisee watalichakaza hadi litatia huruma
 
Duh haya
 
NIMESOMA ILA SIJAIPATA LOGIC YA MADA HUSIKA HAPO JUU
Ni Falsafa inapokumbana na uhalisia.
Tangu mwaka 1945 Ulaya ilikuwa haijawahi kutokea vita kubwa kama inayoendelea muda huu. Unadhani kuwa hapakuwa pamewahi kutokea sababu za msingi za kusababisha vita huko nyuma, isipokuwa ndiyo zimetokea mwaka huu tu?
Kwa upande wangu mimi, hata pale ambapo kunakuwa na sababu za msingi za ku-justify uwepo wa vita, the fact kwamba vita huwa inagharimu maisha ya watu wasio na hatia; kwangu mimi vita ni big no forever!
 
Ila OTAN nao ni kama wamechochea mgogoro halafu wakaamua kukaa pembeni. Labda walikuwa wanampiga mkwara ili aogope kwa kudhani kuwa angeacha
 
Vip
Belarus Kwa Russia ni kama Burundi Kwa Tanzania . Nadhani umesikia wameunga mkono juhudi za Russia nao wamepeleka makeshift Ukraine kuwasapoti Russia .

Vita ya Ukraine ilikuwa inevitable.

Hata Us amepigana vita Irak Afghanistan etc
Vip kuhusu Rwanda kwa Tanzania??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ