Kama unashangaa au hauoni mantiki ya Putin kuivamia Ukraine basi wewe upo kwenye Kundi la watu hawa

Kama unashangaa au hauoni mantiki ya Putin kuivamia Ukraine basi wewe upo kwenye Kundi la watu hawa

Mbona US anaendeleza operation zake Yemen kwa kutumia kivuli Saudi Arabia na kuua raia wasio na hatia lkn mpaka mda huu dunia ipo kimya.

Ndio huwezi kuhalalisha ubaya kwa ubaya,ila tukitaka dunia iwe salama basi UN,US na EU waache unafiki, kwani wao ndio wameacha majanga makubwa kuanzia Iraq,Libya, Afghanistan nk ambapo mamilioni ya watu wamekufa na hizo nchi hazitawaliki, zimekuwa machaka ya kigaidi ambayo wanasambaza itikadi za kigaidi mpaka kwenye nchi zetu za Afrika kuna vikundi vinawatii ISIS.

Nchi kama Libya ni sawa na Jehanum iliyopo dunia,magaidi kibao, biashara ya viungo vya binadamu na vita isiyokuwa na mwisho. US anapigania haki ya Ukraine, wakati ICC wameomba uchunguzi ufanyike kwa raia 24 waliokufa Yemen (BBC Panorama),wakawawekea vikwazo wale majaji. Ila siku na saa uchunguzi ukifanyia Iraq,Libya na Afghanistan utapata picha halisi ya unyama wa kutisha kwa mamailioni ya raia waliokufa wasio na hatia na ndio maana US na washirika wake akiibuka mtu yoyote kuhoji lazima wamuwekee vikwazo.

Hivi ina mamilioni ya watu waliokufa Iraq, Afghanistan na Libya hawana thamani, vipi watoto? Haki yao wataipata lini.
Nakazia
 
Huna lolote.
Wewe ni wale wale wajinga.
Tafuta kazi ufanye.... Acha kukesha kwenye social network kuangalia pumba
 
Hatari ni kama ina hatarisha maisha yangu
Hatari kubwa ni jinsi mlengwa wa hatari anavyoiona.

Putin unaona hatari kubwa kwake. Tatizo kakurupuka. Huenda vita hii ikaenda naye mazima
 
Unatazama movie , kwenye movie Kuna tukio limetokea let's say WTC imelipuliwa.

One week later maelfu ya wamarekani wanakusanyika katika viwanja vya Madison square garden Kwa ajili ya kufanya ibada maalumu ya kuwaombea marehemu walio poteza Maisha Yao kwenye tukio Hilo pamoja Na kulaani walio fanya tukio Hilo .

Miongoni mwa walio kusanyika Mahali hapo ni wamama wenye watoto wachanga..

Camera ya director wa movie hiyo Kwa makusudi mazima inawazoom mara Kwa mara baadhi ya watoto Hao wachanga wakiwa wamebebwa Na mama zao.

Je unajua kwanini directors wamewaonyesha watoto Hao wachanga ?

Unadhani Imetokea Kwa Bahati mbaya?

Najua haujui ila Leo utajua..

Hao watoto wachanga kwenye hiyo scene Wana represent watu wasio Jua Nini kinacho endelea kwenye tukio hilo.

Watoto Wapo kwenye tukio but hawajui chochote masikini. To them everything is okay. They do not have idea of what is going on.

Yani ni kama Yule Mtoto WA miezi Sita alie okolewa kwenye titanic. Hakuwa anajua kilicho kuwa kinaendelea hata alipokuwa kwenye ibada ya kumshukuru Mungu ibada iliyo fanyika wiki kadhaa baada ya tukio la ajali hiyo


Huyo Mtoto mdogo Ni wewe unae soma Uzi Huu ambae unashangaa na kumlaumu Putin Kwa kuivamia Ukraine.

U have no any idea about what is going on in Ukraine.

Ukija kuwa mkubwa ndio utafahamu kwanini Putin ameivamia Ukraine.

Kwa Sasa endelea kufurahi utoto.


Utoto raha Sana.
🤣🤣
Kweli UTOTO raha sana.....
 
Alichofeli Putin ni kitu kimoja tu kushindwa kuweka vibaraka kwenye uongozi wa nchi zinazomzunguka ambazo awali zilikua chini ya USSR.

Hii vita ilipaswa kupiganwa kijasusi zaidi kwa kuwaingiza madarakani viongozi watakaokubali kuwa vibaraka wake, kuliko kuingiza jeshi vitani.

Hapa Putini anaonekana ni dictator au mkoloni kwa kuilazimisha nchi nyingine yenye mamlaka kamili kufuata kile anachokitaka yeye kwa kutumia mabavu.

Hapa ndipo USA amempiga gape kubwa kwenye suala zima la ushawishi kwa kutumia vitengo vya kijasusi na propaganda kutekeleza matakwa yake.

Huwezi kuwa super power na kuicontrol dunia kwa kutegemea mabavu ya kijeshi peke yake bila ya kua na mbinu za ushawishi zitakazo kuongezea washirika watakao kua na wewe bega kwa bega kwenye ajenda zako.

Namuona Mchina ameshalishtukia hili sasa hivi, anatumia nguvu nyingi zaidi kuzishawishi nchi ziwe na ushirika na yeye.
Kweli kabisa mkuu huyu jamaa anatumia minguvu mingi bila maarifa ,angekua basi hata anatoa ela ,yan jamaa likiwa rafiki yako halikupi hata mia, we angalia kuna mashirika mangapi ya misaada kutoka urusi ,yan anazidiwa hadi na Sweden ,to a hela upate marafiki siyo kutumia maubabe,aisee watalichakaza hadi litatia huruma
 
Ukraine anataka kujiunga Na NATO,ukraine akijiunga NATO wabaya wa urusi wote watakua wamekaribishwa Nyumba Ya jirani..your neighbor nextdoor NATO,US,UK..sasa si bora tu umnyuke jirani dhaifu kabla hajajiunga Na wabaya wako?? Ukraine anatumiwa Na mataifa Ya magharibi kumfikia Russia so kwa mtazamo wangu Putin he's righ.
Duh haya
 
NIMESOMA ILA SIJAIPATA LOGIC YA MADA HUSIKA HAPO JUU
Ni Falsafa inapokumbana na uhalisia.
Tangu mwaka 1945 Ulaya ilikuwa haijawahi kutokea vita kubwa kama inayoendelea muda huu. Unadhani kuwa hapakuwa pamewahi kutokea sababu za msingi za kusababisha vita huko nyuma, isipokuwa ndiyo zimetokea mwaka huu tu?
Kwa upande wangu mimi, hata pale ambapo kunakuwa na sababu za msingi za ku-justify uwepo wa vita, the fact kwamba vita huwa inagharimu maisha ya watu wasio na hatia; kwangu mimi vita ni big no forever!
 
it sounds too logically.

mimi nina mpinga pu-tin coz:, sababu zinazotolewa na wapiga filimbi wake ni nyepesi sana tena sana.

luckily enough yeye mwenyewe hajafunguka na kueleza why kafanya hivyo.

sijui na nitaendelea Kutojua hadi yeye na timu yake watakapo amua funguka kile kimewasukuma kufanya hivyo nikijua ukweli halisi nitapologies.

ila kwasasa hizi sababu zinazotolewa humu na Pro Russia nitazipinga na kuziita za kipumbavu sana tena sana.

Wanao mchafua Put-in ni wapiga debe wake ambao kwa namna fulani anahisi wanamtete put-in wakati wanamchafua.

wanatoa utetezi wa kijinga ndiyo maana wa napata upinzani mkubwa kwasababu SABABU zao ni dhaifu.
Ila OTAN nao ni kama wamechochea mgogoro halafu wakaamua kukaa pembeni. Labda walikuwa wanampiga mkwara ili aogope kwa kudhani kuwa angeacha
 
Vip
Belarus Kwa Russia ni kama Burundi Kwa Tanzania . Nadhani umesikia wameunga mkono juhudi za Russia nao wamepeleka makeshift Ukraine kuwasapoti Russia .

Vita ya Ukraine ilikuwa inevitable.

Hata Us amepigana vita Irak Afghanistan etc
Vip kuhusu Rwanda kwa Tanzania??
 
Back
Top Bottom