Huyo mtoa mada kichwani hamnazo, mwanamke unamtongozaje mwanaume mbele ya darasa, Inamaana wewe ni malaya uliyekubuhu hadi shetani anaogopa utapindua ufalme wake.MaAfadhali umemwambia.
Kutongoza mtu mbele ya watu kuna mawili:-
Aidha ni utani au kichwani hamnazo.
General nipo hapa Afrika Magharibi mapanga namna ya kumwadabisha MfaransaAaaah wapi mtu mbabe kama wewe ndo ukaseme kwa mama?
Huo mtego wako utawapata wengi.
General amalgadon mzima ha ha haa
By time utakamega tu!! Speaking from experience.Utomboy unaanzaga hvyo hvyo
Kuna binti alikuwa anavaa kiume afu anaenda disco anaanza kutongoza mademu wenzie akawa anafurah kuwaona wanavyotulia kumsikiliza
Nilienda chuo nikawa nasoma na madogo niliowazid miaka kama 10+ sasa kikatokea kibinti kidogo kiumri na kimwili kakanizoea sana kakawa kanakaa na mimi, siku moja kakaniambia kananipenda na brabra kadhaa hadi nilishangaa niliishia kukasapoti tu ila sikukamega
Simba wa maboksi, simba wa mchongoSasa je Kuna mwanamke Gani anaweza akawa stable ktk mazingira kama hayo?
HahahahahHapo hakuna uhalisia ndio maana wanaume walikua wanakua puzzled.
Kwa sababu hata wanawake hatuwatongozi kwa mtindo huo kwamba nataka touching hata mbele ya darasa.
Hata huyo Mpenzi wako TU huwezi mfanyia hivyo.sembuse mtu uliemshitukiza?
π¬π¬π¬π¬... location nije chukua mbavu zangu za GOAT .. nipo vacation tajiri yanguNational Anthem umekwama wapi?? Jamani umeniziria sana
π π π nipo chimbo.. ulipo goma kuja kuona maajabu ya dunia ya naneNational Anthem upo wapi??
π π π π π PM yangu ipo wazi mbonaa aje ajipakulie manyamaa tuuNational Anthem njoo huku utongozwe na mtu kaniambia anakupenda sana
Sio SAE40 ni 5W30Mlikuwa mnakutana na madomo zege bila shaka ama mazingira hayakuwa rafiki kwa faragha.
Unakutana na mtu kapombeka kiasi unamletea hizo pigo anakuinamisha chap au anapima SAE4O ama anakupa mate kwa spidi ya light.
Hebu atupie kwanza hapa hiyo mistari yake tuone kama kweli anaweza kunasa mwanaume, isijekuwa alikuwa anatupia mistari kijeshi na sura ya baba yake kama aaliyyah halafu aseme anaweza kumshawishi mwanaumeHa ha haa dada yangu mbona utundu wenu huo haujatoa uhalisia?
Unajua nyie mlivyokua kua mkiwa surprise mmadhani ndo udhaifu wenyewe huo,hapana.
Iko hivi,mtu yoyote hata kitoto Cha darasa la Tatu kikikuvamia ghafla na kukuomba sh 200 TU,hata kama una milion Tano mfukoni za kwako na unaenda nazo bar kutumia,ni lazima utapagawa na kujikanyaga kwa sababu hujui huyo mtoto katumwa,ana shida kweli ama ni mtego.
Huwezi kutoa TU ghafla Hadi ujiridhishe.
Kitu chochote Cha ghafla ndio hua na majibu ya tabia hizo ulizoziona kwa hao wakaka.
Hebu fikiria akili yake ilikua off kabisa juu Yako then ukaanza kumtiongoza kwa kawaida hata kua na majibu tayaritayri kitu amabcho wewe ndio unaita kujikanyaga.
Any way wewe ndio ilikua furaha Yako kuona mwanaume kakosa majibu ya ghafla.
Nimekumiss wewe mzee wa kitaaπ π π π π PM yangu ipo wazi mbonaa aje ajipakulie manyamaa tuu
Miss you too.. rafiki yangu wa nguvu πͺπͺπͺNimekumiss wewe mzee wa kitaa
Naomba tumchokoze half americanπ¬π¬π¬π¬... location nije chukua mbavu zangu za GOAT .. nipo vacation tajiri yangu
Soon kiteto nitakualikaMiss you too.. rafiki yangu wa nguvu πͺπͺπͺ
vipi ππ ππ
Haya ndio maneno nilitaka kuyasikiaaa πππ..Soon kiteto nitakualika
Nakuiba mwezi mzimaHaya ndio maneno nilitaka kuyasikiaaa πππ..
agiza chochote hapo unipe na lipa number