Kama unataka kufanikiwa kweye maisha, acha kufanya kazi za kimasikini zenye asili ya kimasikini.

Kuna kazi ukifanya automatically unajiweka kwenye Giza la umasikini na kufanikiwa inakuwa ngumu, binafsi nimefanya kazi hizo najua mfano uvivu mtu anaiishi ili ale tu hakuna kingine
Inategemea kwenye uvuvi upo nyanja ipi, unaenda ziwan kuvua wew mwenyewe au wew ni mvuvi umeajir watu wanaenda kuvua kwaajri yako! Kama umeajri watu hapo sawa, lakn kama umeajiriwa wew ni mvuvi, ndug yangu kutoboa ni ngum sana labda kama unatafta kianzio then ubadri fan au uajiri pia.
 
Kiufupi ni kwamba wote hatuwezi kuwa matajiri.

Na njia za kutobolea ni tofauti tofauti. Wote hatuwezi kuwa wafanya biashara
 
Maafisa usafirishaji aka bodaboda sio kazi ya kimasikini bwana.
 
Hahahaha acha ujinga kaka! Matembele kama mbuzi!
 
Huwezi kukomaa na ajira yako ya TGS C huku ukiwa kijijini unawatumikia wananchi halafu uwe Tajiri.

Mtoa mada yuko SAHIHI

#YNWA
#YANGA BINGWA
Sijakataa kwamba yupo sahihi ,tatizo nimegoma kusikiliza ushauri wa kuwa tajiri kutoka kwa maskini mwaka huu ,ana ushauri mzuri ila yeye yupoje kwanza nazingatia hilo🤔
 
Rekebisha hiyo 10400000 kuwa 1,400,000.

Mlioni 10 lakini 4 hata RC haipati Kwa salary yake
 
Mafanikio ni muunganiko wa jitihada ndogo ndogo nyingi. Huwezi kuanza tu kufanikiwa bila kupitia michakato. Wengi walianzia chini na kufika juu kwenye mafanikio. Pia BAHATI INAHUSIKA.
Kumbe mama ukiacha uchawa upo vizuri kichwani
 
Kila kazi ina matajiri. Kuwa na jicho la kuona fursa zaidi kwenye kila kazi. Labda ungetumia neno usiridhike kwenye kazi unayofanya, maana wengi wanakwama kwa sababu ya kukaa kwenye 'comfort zone'
 
Huwezi kukomaa na ajira yako ya TGS C huku ukiwa kijijini unawatumikia wananchi halafu uwe Tajiri.

Mtoa mada yuko SAHIHI

#YNWA
#YANGA BINGWA
Mzee wa Kataa ndoa uko sahihi ndo maana nimesema mafanikio ni muunganiko wa jitihada ndogondogo nyingi. Kutegemea mshahara peke yake tena wa TGS C ni ngumu kufanikiwa.
 
Samahani mkuu kwa Mwezi unaingiza be gan? Make macho yangu yanasumbua kusoma hizo tarakimu,hebu naomba uandike kwa maneno
 
Kuna kazi ukifanya automatically unajiweka kwenye Giza la umasikini na kufanikiwa inakuwa ngumu, binafsi nimefanya kazi hizo najua mfano uvivu mtu anaiishi ili ale tu hakuna kingine
Ulikua unafanya uvuvi wa aina gani wewe mbona nmepiga hela huko kilicho niondoa huko ni risks ila pesa ipo
 
Huyu km sio mwanafunzi sijui maake ngoja nisachi Uzi wake mwingine......
 
Kuandika ni simple like that.

Punguzeni kuvuta Marijuana same time.
Unayaandika haya,kana kwamba wewe unamiriki kampuni kubwa.
Acha watu wafanye kazi kwa bidii.
Mwenye maisha mazuri,ambayo hayana stress ni FISADI TU.

Kiufupi,mambo yake ni silent.no kodi.
Nchi Yako yenyewe ni maskini au hujui kukumaji wewe
 
Bro njoo ferry kivukoni hapa uone boda boda tunaishije
 
Maendeleo na Hatua Ni mentality ya Mtu Hatua, Maendeleo,na utajiri Vinaanzia kichwani

Bro Me Nasemaga Kama Bado unajitafuta fanya Kazi Yoyote ya Halali kujenga msingi wa Kwenda juu KIMAISHA unachukua Miaka mingi si chini ya Miaka 5

Kipindi unajitafuta hutokula focus zako,Hutokula ndoto zako mzee fanya.kazi Yoyote HUKU ukiweka Mikakati sawa ya kusogea juu.
 
Polisi
Mwalimu
Nesi
Maafisa watendaji
Wahasibu wa halmashauri
Nk
Ili wawe matajiri lazima
1. Kuiibia serikali muda
2. Kuiibia serikali hela
3. Rushwa

Bila hivo hakuna anayeweza kuwa tajiri hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…