mandieta19
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 212
- 549
haha haaUnajua maana ya histologically au unajiandikia maneno yoyote yanayokuja kichwani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haha haaUnajua maana ya histologically au unajiandikia maneno yoyote yanayokuja kichwani?
Inategemea kwenye uvuvi upo nyanja ipi, unaenda ziwan kuvua wew mwenyewe au wew ni mvuvi umeajir watu wanaenda kuvua kwaajri yako! Kama umeajri watu hapo sawa, lakn kama umeajiriwa wew ni mvuvi, ndug yangu kutoboa ni ngum sana labda kama unatafta kianzio then ubadri fan au uajiri pia.Kuna kazi ukifanya automatically unajiweka kwenye Giza la umasikini na kufanikiwa inakuwa ngumu, binafsi nimefanya kazi hizo najua mfano uvivu mtu anaiishi ili ale tu hakuna kingine
Hahahaha acha ujinga kaka! Matembele kama mbuzi!Walinzi wa kampuni binafsi.ukikuta mlinzi wa kampuni binafsi anamiliki hata bodaboda jua ni mwizi au anacheza biashara chafu na wakubwa sehemu anayolinda.kikubwa walinzi ni maskini sana kushindia mihogo ya jero na maji ya bomba lindoni ni kawaida tu na nyumbani akirudi anakula ugali na matembele kama mbuzi
Sijakataa kwamba yupo sahihi ,tatizo nimegoma kusikiliza ushauri wa kuwa tajiri kutoka kwa maskini mwaka huu ,ana ushauri mzuri ila yeye yupoje kwanza nazingatia hilo🤔Huwezi kukomaa na ajira yako ya TGS C huku ukiwa kijijini unawatumikia wananchi halafu uwe Tajiri.
Mtoa mada yuko SAHIHI
#YNWA
#YANGA BINGWA
Rekebisha hiyo 10400000 kuwa 1,400,000.Mtoa mada Huna akili narudia tena kusema Huna akili.. usiiishi kwa mazoea mimi ni boda boda na nina uhakika kabisa hunipati kipato changu cha mwezi wala maisha ninayoishi bro sijui dada.. usikalili pesa ninayoingiza kwa siku ni 50000 kwa wiki ni 350000 na kwa mwezi ni 10400000 we unalipwa bei gan kwa mwezi tuanzie hapo
Kumbe mama ukiacha uchawa upo vizuri kichwaniMafanikio ni muunganiko wa jitihada ndogo ndogo nyingi. Huwezi kuanza tu kufanikiwa bila kupitia michakato. Wengi walianzia chini na kufika juu kwenye mafanikio. Pia BAHATI INAHUSIKA.
Mwanangu wa kambo ukimuuliza mama yako vizuri atakuambia nina akili kiasi gani hadi akakubali kuwa mchepuko wangu.Kumbe mama ukiacha uchawa upo vizuri kichwani
Mzee wa Kataa ndoa uko sahihi ndo maana nimesema mafanikio ni muunganiko wa jitihada ndogondogo nyingi. Kutegemea mshahara peke yake tena wa TGS C ni ngumu kufanikiwa.Huwezi kukomaa na ajira yako ya TGS C huku ukiwa kijijini unawatumikia wananchi halafu uwe Tajiri.
Mtoa mada yuko SAHIHI
#YNWA
#YANGA BINGWA
Samahani mkuu kwa Mwezi unaingiza be gan? Make macho yangu yanasumbua kusoma hizo tarakimu,hebu naomba uandike kwa manenoMtoa mada Huna akili narudia tena kusema Huna akili.. usiiishi kwa mazoea mimi ni boda boda na nina uhakika kabisa hunipati kipato changu cha mwezi wala maisha ninayoishi bro sijui dada.. usikalili pesa ninayoingiza kwa siku ni 50000 kwa wiki ni 350000 na kwa mwezi ni 10400000 we unalipwa bei gan kwa mwezi tuanzie hapo
Ulikua unafanya uvuvi wa aina gani wewe mbona nmepiga hela huko kilicho niondoa huko ni risks ila pesa ipoKuna kazi ukifanya automatically unajiweka kwenye Giza la umasikini na kufanikiwa inakuwa ngumu, binafsi nimefanya kazi hizo najua mfano uvivu mtu anaiishi ili ale tu hakuna kingine
Rais wa watu wa halmashauriBahati ni fursa iliyokutana na Maandalizi.
Jiandae vizuri fursa itakupitia na sisi tutakudiss "Huyo ana bahati tu""
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Bro njoo ferry kivukoni hapa uone boda boda tunaishijeFanya kazi au biashara ambayo unaweza kukuinua, kuna kazi ukifanya automatically umejiandaa kuwa masikini.
Kazi zenye asili za kimasikini ni zile kazi ngumu ngumu zenye malipo madogo.
HUWEZI kujenga au kuwa na maisha ya maana kwa kazi ya Bodaboda nk
Fanya biashara ambayo histologically zimewatoa watu wengin. Haijalishi una mtaji ndogo au vipi.
Kazi zenye asili ya umasikini.
Ualimu
Upolisi
Bodaboda
Kumwaga zege
Uvuvi
Hapa nazungumzia local participants