Kama unazeeka ni wewe. Kwa taarifa yako uzee unazuilika. Cheki hapa!

Huyo siyo Beyonce asilia ni makeup na picha za Beyonce zilizopambwa. Siku hizi watu wanacheza na makeup na graphics, anawezekana kuwekwa vyovyote anavyotakikana aonekane.

Hizo picha mwenyewe akiziona anauliza "huyu nani?"
Tupe picha ya bi hadija
 
Bullshit. Beyonce ana miaka 40+ umri ambao upo level za utu uzima na sio uzee.
Ukilinganisha huyo hot miss ni musician means maisha yake yote yamebase kwenye muonekano hivyo atafanya kila njia to keep it that way kwa pesa alizonano. Na considering mtu huzeeka haraka zaidi kwa stress na shida za maisha. Hivyo pesa, mazoezi, vyakula bora, diet or some bullshit, plastic surgeries, make-up, face workouts, mafuta ya bei kali ya ngozi, madawa makali ya bei kali, genetics, camera bora na filters. Ndivyo vinamfanya asizeeke au asionekane mzee.

Sasa kama wewe umefulia basi usitegemee kuwa kama huyo Hot Milf ukifikia 40, hiyo ni FACT. Tegemea uwe an overweight bag of meat. Gunia.

Sent from my G011A using JamiiForums mobile app
 
Beyonce ni miaka ya kina zari wa Diamond sio mkubwa sana hafiki miaka 50..
 
Wewe umejuaje umri wa FaizaFoxy ? Usiyaamini maneno yake. Unaweza kukuta ni kasichana ka miaka 19 tu
Nchi inapata uhuru Faiza Foxy yuko bize na mpenzi ndani ya kuta nne huku milango na madirisha yamefungwa. Wanakuja kutoka nje tayari Gavana Turnbul kashamkabidhi Mwalimu Nyerere nchi.
 
Dah, Yan huoni tofauti ya hizo picha mbili hapo, ukiangalia unaona kabisa hapo yupi mtu mzima(Mzee).
 
Kwa hiyo watu wasile chakula kingi sio?

Wale kwa kidogo, kuepuka kuzeeka.[emoji23][emoji23]



Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
UtaIbaziba nje kwa make up na operation lakini Kuna viungo vilivyofichwa vikifunuliwa tuu ...umri haudanganyi
 
Yaani bado naitafuta mahala nilipoisave siioni. Nahangaika kuitafutq kwenye nyuzi zangu sijajua ni ipi ila ilishatumwa kwenye moja ya nyuzi.
Usijali, usihangaike sana. Hii nayo iko 'so hooot'!
 
Huyo siyo Beyonce asilia ni makeup na picha za Beyonce zilizopambwa. Siku hizi watu wanacheza na makeup na graphics, anawezekana kuwekwa vyovyote anavyotakikana aonekane.

Hizo picha mwenyewe akiziona anauliza "huyu nani?"
Wewe hizo makeup huzitaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…