Kama utani vile mwalimu Paulo anaweza kuja kuwa mkuu wa shule

Mwalimu paulo tangu alipopewa ualimu wa darasa akaanza mambo makubwa. Alikuwa mwalimu wa darasa la tano A lakin aliweza kuongoza hata madarasa mengine
Kwa sasa kamati za shule na wanawafunzi wote wanaumia na headmaster wa sasa hata wenzake wanaompa chakula hawapndi na hawamtaki ,yupo yeye kama yeye ingawa watu wanapga makofi
.

Ipo hv headmaster anaekuja 2030 atakuwa Bora zaidi ya 2015. Amin nawambia

Mipango inaenda vzr

All in all tumtangulize Mungu
 

Kwa shule hii
Kikubwa dua mkuu
 
Nyinyi panya za BASHITE acheni kuota ndoto za mchana. Niamini mimi. Hii ndiyo awamu yenu ya mwisho kwa vilaza kushika madaraka makubwa ndani ya hii nchi.
 
FUNGUKENI TUWAELEWE SIO MNAJIZUNGUSHA TU KAMA PIA
 
Utabiri unaenda kukamilika soon kama alivyotabiri sheikh Yahya.
 
Nanauka Wizara yake ni ya tofauti sana na kiwizara cha Makonda.
Mawaziri kutokana na Wizara zao wana Rank.
Waziri wa Michezo hawezi akafanya kazi za Waziri wa UTUMISHI labda apewe hilo jukumu na kichaa.
Inawezekana kweli ukawa unafahamu vitu vingi.

Lakini kwa reply hiyo hujui chochote kuhusu mawaziri na wizara zao na jinsi wanavyoweza kukasimishwa majukumu yaliyotofauti na wizara zao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…