Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Kila mtu atabeba msalaba wake mkuu au ndio mnavyodanganywa na Mwamposa hapo Kawe mzee wakuvunja maroho na mizimu ya ukoo😂🤣Wanakuwa na watoto? Au kuwa na watoto baadaye na hao watoto hawapo affected?
Kumbe nipo mwenyewe eeh hubby wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sina mchepuko Anne!
Hivi kwani si tulikubaliana kuwa ni Mimi [emoji23]Sasa kwa vile umenikubali rasmi, wewe ni mke wangu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijawahi fika hapo kwa huyo mtu, natumia nguvu yangu ya asili aliyonipa Mungu kunipa muongozo, nafsi ikiwa chafu kiroho inapoteza ushujaa wa kufanya mambo makubwa kwa kupitia muumba wako, am favored by God natural.Kila mtu atabeba msalaba wake mkuu au ndio mnavyodanganywa na Mwamposa hapo Kawe mzee wakuvunja maroho na mizimu ya ukoo[emoji23][emoji1787]
Umma ulijua? Ili uwe mke lazima dunia ijue, ulisema mwenyewe umri ni nambari tu!🤣🤣Hivi kwani si tulikubaliana kuwa ni Mimi [emoji23]
Tofautisha uzinzi na kuhonga.Wanasema ukiwa mtu wa kutembea na kila mwanamke unajiletea mabalaa/mikosi wakimaanisha unakaribisha umaskini kwenye maisha yako, mbona kuna watu nawafahamu ni wanabadilisha wanawake kila kukicha, miaka nenda rudi, ila bado kipesa wako vizuri, na navowafahamu pesa zao si za kishirikina.
Hio stereotype imetoka wapi
Unawezaje kuwa mzinzi usihonge?Tofautisha uzinzi na kuhonga.
Akili kumkichwa honga kwa malengo na aina ya kipato chako unahonga mshahara wakati wahongaji wanahonga maokoto pima hapoUnawezaje kuwa mzinzi usihonge?
Kwani bado hawajui?[emoji38]Umma ulijua? Ili uwe mke lazima dunia ijue, ulisema mwenyewe umri ni nambari tu![emoji1787][emoji1787]
Wewe ulimwambia nani? Leo ndio umeuambia umma wa jf status yako[emoji1787][emoji1787]Kwani bado hawajui?[emoji38]
Kama hawajui shauri yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe ulimwambia nani? Leo ndio umeuambia umma wa jf status yako[emoji1787][emoji1787]
Huu ndio uonez wenyewe.Kizazi changu kimekosa nini wakat uzinzi nafanya kwa habar zangu binafsi? Halaf watu wakianzaga kupinga scripture kwa mambo kama haya mnaanza kuwaona sio.
Kizaz changu kinahusika vipi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama hawajui shauri yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
haunaga mbambamba, you just state the facts.....Vitu vingine ni rahisi tu hata havihitaji PhD kuvielewa. Pesa, muda na energy… kama unavyo vyote endelea na uzinzi.
Cheers 🥂 see you at the top.