Kama uzinzi huleta umasikini, mbona kuna watu ni wazinzi wana maisha mazuri kiuchumi?

Kama uzinzi huleta umasikini, mbona kuna watu ni wazinzi wana maisha mazuri kiuchumi?

Kila mtu atabeba msalaba wake mkuu au ndio mnavyodanganywa na Mwamposa hapo Kawe mzee wakuvunja maroho na mizimu ya ukoo[emoji23][emoji1787]
Sijawahi fika hapo kwa huyo mtu, natumia nguvu yangu ya asili aliyonipa Mungu kunipa muongozo, nafsi ikiwa chafu kiroho inapoteza ushujaa wa kufanya mambo makubwa kwa kupitia muumba wako, am favored by God natural.
 
Wanasema ukiwa mtu wa kutembea na kila mwanamke unajiletea mabalaa/mikosi wakimaanisha unakaribisha umaskini kwenye maisha yako, mbona kuna watu nawafahamu ni wanabadilisha wanawake kila kukicha, miaka nenda rudi, ila bado kipesa wako vizuri, na navowafahamu pesa zao si za kishirikina.

Hio stereotype imetoka wapi
Tofautisha uzinzi na kuhonga.
 
Acheni uzinzi bhan kuna wake kwa ujumla wake Wana mikosi

Natoa kisa changu
Nikiwa nikiwwa najiandaa na safari yangu ya kikazi kwenda sumbawanga usku wake nilikwenda bar kupiga bia mbili tatu na Broo wangu moja HV uyule hapo bas tukakutna na pisi kali kwenye hiyo bar tukawapiga bia nao ,mmoja nikawa nimemuelewa ndipo jamaa angu akanimbia ruka na huyo mtoto ,mtot amenielewa nikaona fresh POA Basi nikaona fresh nikachukuwa mtot fresh had asbh nikamkamua vzr nikaagana nae huyo nikachukuwa ndiga niakzogee she'll ya manyannya hapo uyole nikajaza wese Kisha nikatembee kulekeaa swumbawanga Kisha mpanda

Nilipo fika mlowo nikaona wacha nipitie Kaz fln huko ndani ndani nikaona wacha nilale mlowo asbh nianze safari aloo kat ya saa mbili na robo nilikula mzinga wa hatari gari lote la kampuni ikawa chapati haitamaniki ajabu nilitoka mzima Kama nilivyo


Huwa nikikumbuka Hilo tukio nafananisha na nainahisi kbsa Ni Yule mwnaamke alinialetea mikosi huo ..

Jmn kwangu ngono naisi pia inamikoso ktk maisha yangu
 
Huu ndio uonez wenyewe.Kizazi changu kimekosa nini wakat uzinzi nafanya kwa habar zangu binafsi? Halaf watu wakianzaga kupinga scripture kwa mambo kama haya mnaanza kuwaona sio.

Kizaz changu kinahusika vipi.

Mali hurithiwa ndugu,usione koo flan ni matajiri ujue zimeanzia juu kwa babuu,sasa Kama babu akizitapanya Nani atazikuta,Simple tu hii mbona
 
Back
Top Bottom