Kama Wanakwaya wanavaa hivi basi si ajabu Wengine kuvaa pia!

16 Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu?

- mstari mzito sana huu!
 
Mkuu mpaka tutakapo amua kubadilika Kwa dhati na kufuata njia sahihi ndio uzima wa milele tutaona vinginevyo tuwe tayar kusaga meno
 
Wana balaa sana! Mm hua naenda ku socialize tu maana hua siwezi kuwasikiliza wala kuwaelewa nabaki na ninayo ya amini rohoni kwangu tu
Sasa mkuu unakwenda kufanya nini?Amua sasa kwamba you seriously want to save God.Don't waste your time.
Read this,2Kor.6:
16-17," Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.
17 Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha.
18 Nitakuwa Baba kwenu, Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike."
 
Mkuu mpaka tutakapo amua kubadilika Kwa dhati na kufuata njia sahihi ndio uzima wa milele tutaona vinginevyo tuwe tayar kusaga meno
Hapana mkuu,do not loose hope,kwa kuwa umeshaujua ukweli,chukua hatua,inawezekana kabisa kuurithi Ufalme wa milele na ndio maana Mungu ameamua kuufunua ukweli huo.
 
"Imani yako itakuponya" ndicho kinacho niongoza ila c kwenda kusikiliza au kumuelewa mtu ambae anafanya yooote anayo kuhimiza usifanye! WEWE UNAWEZA!!? Kikubwa ni kujumuika tu, mengine yabaki kichwani kwako na rohoni kwako
 
Unaamini nini ndilo jambo la msingi mkuu.Imani yeyote ambayo haina msingi wa Neno la Mungu ni batili,na inakufanya uwe legitimate target ya Shetani.Sio kila Imani ni sahihi.Ni lazima tumuabudu Mungu katika "Roho na Kweli."
 
Namuabudu roho na kweli! Kupitia akilini mwangu na rohoni mwangu ila si kwa kuwasikiliza wauza keki, wapaka mafuta, wa languaji, wazinzi na waasherati ambao wana tuhimiza tusifanye wanayoyafanya gizani
 
Nita Comment ukiweka picha!!
 
Dini biashara, tokea mkusanye sadaka miaka na miaka hazijatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…